ACT wataka Katiba mpya baada ya uchaguzi 2015
CHAMA kipya cha siasa cha ACT-Tanzania kimeelezea kusikitishwa na mvutano wa makundi ya kisiasa uliowakumba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na kushauri, ni vyema Bunge la Katiba likaahirishwa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani kwa kutumia Katiba ya sasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba
CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya
![Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kidawa-Hamid-Salehe.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.
Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...
11 years ago
Mwananchi18 May
Ukawa wataka kuungwa mkono Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wajumbe wataka sura ya ardhi Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametaka kuwepo kwa sura maalumu katika Katiba mpya, itakayozungumzia suala la ardhi pekee, ikiwa ni hatua ya kupunguza migogoro baina ya wakulima na wafugaji kwa kuweka mgawanyo sahihi wa rasilimali hiyo.
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Policy Forum wataka Uchaguzi Serikali za Mitaa ufanyike 2015
9 years ago
Michuzi03 Sep
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Wanawake wataka hamisini kwa hamsini Katiba Mpya ijayo
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika jana 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
Katika juhudi za kuleta usawa wa kijinsia na kuinua hadhi ya wanawake, Serikali imefanya jitihada kubwa katika masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii...
9 years ago
Vijimambo25 Oct
ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-3.jpg?resize=501%2C370)
ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-1.jpg?resize=582%2C427)
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-2.jpg?resize=584%2C429)
Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini na...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Viongozi, wanaharakati wataka Katiba Mpya imtambue mtoto na haki zake
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/Mwenyekiti-wa-Mtandao-wa-Mashirika-yanayofanya-kazi-na-Watoto-Tanzania-ambaye-pia-ni-Mratibu-Miradi-Kituo-cha-Watoto-wa-Mtaani-cha-Dogodogo-Kigogo-Dogodogo-Centre-Street-Children-Trust-Sabas-Masawe..jpg)
Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe.
MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza...