Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.


ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.October 24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25 ambapo baada ya kukuonyesha CCM na UKAWA walivyofunga kampeni kwenye post iliyopita, post hii ni ya ACT Wazalendo ambao wamefunga kampeni zao Kigoma.

Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI UPINZANI 2015: Anna Mghwira, Mwenyekiti ACT- Wazalendo

>Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56).

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo waanza kushambulia Kigoma

Chama cha ACT-Wazalendo kitaanza kampeni zake za mikoani leo kwenye kitongoji cha Mwanga mkoani Kigoma, kabla ya kuanza ziara ndefu kuzunguka Tanzania kuomba ridhaa ya wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

ACT Wazalendo yatoa Meya Kigoma Ujiji

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji limemchagua Diwani wa Kata ya Bangwe, Hussien Ruhavi kuwa Meya wa manispaa hiyo. Sambamba na hilo, Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) akiahidi kumshughulikia diwani yeyote atakayekwamisha mipango yao ya kuleta maendeleo katika manispaa hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

KIGOMA UJIJI YAPATA MEYA TOKA ACT Wazalendo.

Madiwani wa Manispaa ya Kigoma ujiji wakiwa katika picha ya pamoja .Mwenyekiti wa uchaguzi wa Meya na Naibu meya mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe akitoa maelezo ya awali kabla ya uchaguzi.  Meya wa Manispaa ya kigoma Ujiji Hussein Ruhavi akimweleza jambo makamu meya  Athuman Mussa wa manispaa hiyo kushoto ni mbunge wa Kigoma mjini ndiye alikuwa mwenyeti wa uchaguzi Mmoja wa Madiwani akipiga kura ya kumchagua meya wa manispaa ya Kigoma Ujiji
Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma

BARAZA ...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT Wazalendo kuanzisha benki kwa watu wa Kigoma

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitashawishi uanzishaji wa Benki ya Kijamii ya Watu wa Kigoma (Kigoma Community Bank) ili kuwawezesha wafanyabiashara, wakulima na vikundi vya ujasiriamali kupata mikopo kwa urahisi na riba nafuu.

 

9 years ago

Dewji Blog

ACT Wazalendo wang’ara jimbo la Kigoma/Ujiji

act wazalendo kigoma

Hii ni kwa mujibu wa Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo anajivunia Kigoma/Ujiji kuwa Manispaa ya kwanza kuwa chini ya chama cha ACT Wazalendo.

Na haya ndio matokeo yenye kama alivyoorodhesha kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Bangwe: ACT:1939, CCM:1243, CDM: 830

BUHANDA: ACT:1163, CCM: 581, CDM: 1147

BUSINDE: ACT: 376, CCM: 447, CDM: 139

BUZEBAZEBA: ACT: 2758, CCM: 1515, CDM: 1003

GUNGU: ACT: 3528, CCM: 1551, CDM: 1561

KAGERA: ACT: 939,...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo

Chama cha ACT-Wazalendo juzi kimehitimisha siku 10 za awamu ya kwanza kwa kutembelea mikoa minane ya Tanzania Bara, huku wakisisitiza kaulimbiu yao ya utu, uzalendo na uadilifu.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT - Wazalendo kuzindua kampeni leo

Chama cha ACT – Wazalendo leo kinazindua kampeni zake za uchaguzi kwa kuwatambulisha wagombea wote wa ubunge waliosimamishwa kwenye majimbo ya Tanzania –Bara na Zanzibar.

 

9 years ago

Habarileo

ACT Wazalendo kuzindua kampeni Jumapili, Ukawa Jumamosi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumapili Agosti 30, katika viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamisi alimwambia mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kuwa mgombea urais, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Mussa Yusuf watamwaga sera zao kwa wakazi wa Dar es Salaam siku hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani