Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT Wazalendo kuzindua kampeni Jumapili, Ukawa Jumamosi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumapili Agosti 30, katika viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamisi alimwambia mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kuwa mgombea urais, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Mussa Yusuf watamwaga sera zao kwa wakazi wa Dar es Salaam siku hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

ACT - Wazalendo kuzindua kampeni leo

Chama cha ACT – Wazalendo leo kinazindua kampeni zake za uchaguzi kwa kuwatambulisha wagombea wote wa ubunge waliosimamishwa kwenye majimbo ya Tanzania –Bara na Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo

Chama cha ACT-Wazalendo juzi kimehitimisha siku 10 za awamu ya kwanza kwa kutembelea mikoa minane ya Tanzania Bara, huku wakisisitiza kaulimbiu yao ya utu, uzalendo na uadilifu.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT kuzindua kampeni J’pili

Chama cha ACT – Wazalendo kitazindua kampeni zake za uchaguzi kwa kuwatambulisha wagombea wote wa ubunge waliosimamishwa kwenye majimbo ya Tanzania –Bara na Zanzibar. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 30 katika Uwanja vya Zakhem Mbagala, wilayani Temeke kuanzia saa nne asubuhi.

 

10 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo waomba kujiunga Ukawa

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira amesema chama hicho hakina matatizo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na hata sasa kinasubiri majibu ya barua yao waliyoituma kwa umoja huo kuomba kuunganishwa.

 

9 years ago

Habarileo

ACT kuzindua kampeni wakirejeshewa ratiba

CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kitatoa ratiba ya uzinduzi wa kampeni zao wao mara tu Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakapopitia ratiba yao na kuibariki. Ofisa habari wa chama hicho Abdalah Hamis alisema jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili kuhusu uzinduzi rasmi wa kampeni kwa chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Marufuku wanachama wa ACT - Wazalendo kushabikia Ukawa’

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kila mwanachama anapaswa kuwaunga mkono wagombea watakaopitishwa na chama hicho katika nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwani kinyume chake ni kukisaliti na adhabu yake ni kufukuzwa.

 

9 years ago

Michuzi

ACT WAZALENDO JIMBO LA IRINGA WAZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE

 Viongozi  wa ACT  wazalendo Iringa  wakijiandaa kwa  wimbo  wa Taifa jukwaani wakati wa uzinduzi wa kampeni  zao kwenye uwanja wa Mwembetogwa jana  mjini Iringa jana
Mgombea ubunge  jimbo la Iringa mjini Chiku  Abwao  akiwahutubia  wananchi  katika  uzinduzi wa kampeni kwenye uwanja wa Mwembetogwa jana

Mgombea ubunge  jimbo la Iringa mjini Chiku  Abwao  akiwahutubia  wananchi  katika  uzinduzi wa kampeni kwenye uwanja wa Mwembetogwa jana
Msanii Baba  Revo  akiwa na Chiku...

 

9 years ago

Vijimambo

ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.


ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.October 24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25 ambapo baada ya kukuonyesha CCM na UKAWA walivyofunga kampeni kwenye post iliyopita, post hii ni ya ACT Wazalendo ambao wamefunga kampeni zao Kigoma.

Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini na...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo wazindua kampeni, Mghwira aahidi serikali ya umoja

Chama cha ACT-Wazalendo wazindua rasmi kampeni zao kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.  Katika uzinduzi huo, mgombea wa Urais wa chama hich, Anna Mghwira ameahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa endapo atashinda urais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani