ACT kuzindua kampeni J’pili
Chama cha ACT – Wazalendo kitazindua kampeni zake za uchaguzi kwa kuwatambulisha wagombea wote wa ubunge waliosimamishwa kwenye majimbo ya Tanzania –Bara na Zanzibar. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 30 katika Uwanja vya Zakhem Mbagala, wilayani Temeke kuanzia saa nne asubuhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Aug
ACT kuzindua kampeni wakirejeshewa ratiba
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kitatoa ratiba ya uzinduzi wa kampeni zao wao mara tu Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakapopitia ratiba yao na kuibariki. Ofisa habari wa chama hicho Abdalah Hamis alisema jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili kuhusu uzinduzi rasmi wa kampeni kwa chama hicho.
9 years ago
Mwananchi30 Aug
ACT - Wazalendo kuzindua kampeni leo
9 years ago
Habarileo26 Aug
ACT Wazalendo kuzindua kampeni Jumapili, Ukawa Jumamosi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumapili Agosti 30, katika viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamisi alimwambia mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kuwa mgombea urais, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Mussa Yusuf watamwaga sera zao kwa wakazi wa Dar es Salaam siku hiyo.
10 years ago
MichuziKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Chausta kuzindua kampeni leo
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Mgombea Chalinze kuzindua kampeni
9 years ago
Habarileo27 Aug
CCK kuzindua kampeni za ubunge leo
CHAMA cha Kijamii (CCK), kinazindua kampeni za ubunge leo jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo13 Sep
CCM kuzindua kampeni Zanzibar leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani hapa kinazindua kampeni leo mjini hapa, huku mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein akitarajiwa kuhutubia.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
UKAWA WAZUIWA KUZINDUA KAMPENI JANGWANI