Mgombea Chalinze kuzindua kampeni
>Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha AFP, Ramadhani Mgaya amesema kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwapo kwenye Bunge la Katiba, safari hii yeye binafsi kwa kushirikiana na viongozi waandamizi wa chama hicho ndiyo watakaozindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Mar
CCM kuzindua kampeni Chalinze leo
9 years ago
Vijimambo30 Aug
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU
Hotuba ya Lowassa
Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015
Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu
Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Ratiba ya kampeni za mgombea Urais/Mgombea Mwenza kwa Vyama vya Siasa iliyorekebishwa tarehe 20/10/2015
RATIBA REVIEWED ON 20 10 2015.pdf
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Ratiba ya kampeni za mgombea Urais/Mgombea mwenza kwa vyama vya siasa — kama ilivyorekebishwa tarehe 22/10/2015
RATIBA REVIEWED ON 22 10 2015.pdf
9 years ago
Michuzi11 years ago
Habarileo06 Mar
Chadema wamtafuta mgombea wa Chalinze
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.
11 years ago
Habarileo14 Mar
Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).