Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM kuzindua kampeni Chalinze leo

>Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuzindua rasmi kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze leo kwenye Viwanja vya Polisi, Chalinze Mjini, shughuli ambayo itafanywa na viongozi wakuu wa chama hicho ngazi ya taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM kuzindua kampeni Zanzibar leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani hapa kinazindua kampeni leo mjini hapa, huku mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein akitarajiwa kuhutubia.

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya mkutano wa kampeni za CCM chalinze leo

Maandalizi ya mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za Ubunge kupitia CCM jimbo la Chalinze yaendelea vizuri ambapo jioni ya leo Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuhutubia wakazi wa Chalinze na Vitongoji vyake pamoja na kumnadi mgombea wa ubunge kupitia CCM Ndugu Ridhwani Kikwete.  Barabara Kuu iendayo mikoa ya Tanga,Kilimanjaro na Arusha ikiwa imependeza kwa bendera za CCM ,ambapo masaa machache yajayo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa uzinduzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chalinze kuzindua kampeni

>Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha AFP, Ramadhani Mgaya amesema kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwapo kwenye Bunge la Katiba, safari hii yeye binafsi kwa kushirikiana na viongozi waandamizi wa chama hicho ndiyo watakaozindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAENDELEA LEO KATA YA LUGOBA

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,wakati wa muendelezo wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (hayupo pichani). Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,ikiwa ni muendelezo wa Kampeni zake. Mgombea Ubunge...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KATIKA KATA YA KIWANGWA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO

 Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha CCM,leo Machi 21,2014. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Chausta kuzindua kampeni leo

Mgombea wa ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Chausta, Richard Minja atazindua kampeni zake rasmi leo.

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani