Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maandalizi ya mkutano wa kampeni za CCM chalinze leo

Maandalizi ya mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za Ubunge kupitia CCM jimbo la Chalinze yaendelea vizuri ambapo jioni ya leo Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuhutubia wakazi wa Chalinze na Vitongoji vyake pamoja na kumnadi mgombea wa ubunge kupitia CCM Ndugu Ridhwani Kikwete.  Barabara Kuu iendayo mikoa ya Tanga,Kilimanjaro na Arusha ikiwa imependeza kwa bendera za CCM ,ambapo masaa machache yajayo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa uzinduzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM kuzindua kampeni Chalinze leo

>Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuzindua rasmi kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze leo kwenye Viwanja vya Polisi, Chalinze Mjini, shughuli ambayo itafanywa na viongozi wakuu wa chama hicho ngazi ya taifa.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAENDELEA LEO KATA YA LUGOBA

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,wakati wa muendelezo wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (hayupo pichani). Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,ikiwa ni muendelezo wa Kampeni zake. Mgombea Ubunge...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KATIKA KATA YA KIWANGWA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO

 Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha CCM,leo Machi 21,2014. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA KAMPENI ZA CCM KIWANI PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendelea kuzungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali pichani wakati wa Mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM Jangwani leo

IMG_0256Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Makamu wake, Gharib Bilal (Kushoto) katikati ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli akiwasalimia Wana-CCM waliofika viwanjani hapo.

Katibu wa Itikiadi na Uenezi, Nape Nnauye akiamsha shamrashamra.

Malkia wa Taarab, Khadija Kopa akitumbuiza sambamba na bendi ya TOT.

Wasanii wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na Batuli wakiingia...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZAZIDI KUSHIKA KASI

 Mbunge a Jimbo la Mchinga,Mh. Said Mtanda (kulia) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (wa pili kushoto walioketi).
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Saleni,Kata ya Lugoba ndani ya Jimbo hilo wakati akiendelea na Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze leo Machi 26,2014. Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa muendelezo wa Mikutano ya Kampeni za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani