KAMPENI ZA CCM KATIKA KATA YA KIWANGWA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha CCM,leo Machi 21,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAENDELEA LEO KATA YA LUGOBA



11 years ago
Michuzi
RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO



11 years ago
Michuzi
CCM YAENDELEA NA MBIO ZAKE KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo Machi 29,2014.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mandera Kibaoni wakati akimuombea Kura Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye...
11 years ago
Michuzi
KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KWA KASI KATIKA HATUA ZA LALA SALAMA



11 years ago
GPL
RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE
10 years ago
Michuzi
Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.


