CCM YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Saleni,Kata ya Lugoba ndani ya Jimbo hilo wakati akiendelea na Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze leo Machi 26,2014. Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa muendelezo wa Mikutano ya Kampeni za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziCCM YAENDELEA NA MBIO ZAKE KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo Machi 29,2014.
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mandera Kibaoni wakati akimuombea Kura Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye...
11 years ago
MichuziCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
11 years ago
MichuziCCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
11 years ago
MichuziCHADEMA YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA MKOANI IRINGA
Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM...
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAENDELEA LEO KATA YA LUGOBA
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KATIKA KATA YA KIWANGWA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO