Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM kuzindua kampeni Zanzibar leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani hapa kinazindua kampeni leo mjini hapa, huku mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein akitarajiwa kuhutubia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM kuzindua kampeni Chalinze leo

>Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuzindua rasmi kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze leo kwenye Viwanja vya Polisi, Chalinze Mjini, shughuli ambayo itafanywa na viongozi wakuu wa chama hicho ngazi ya taifa.

 

9 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA, DK. SHEIN WAFUNGA KAZI KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO

Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika leo kwenye Viwanja hivyo mjini Zanzibar.
 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu hassan baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
 Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA NA DK. SHEIN WAFUNGA KAZI MKUTAO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar Dogo Aslay akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo Kibandamaiti mjini Zanzibar. Mgomea Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM Mama Samia Suluhu...

 

11 years ago

Mwananchi

Chausta kuzindua kampeni leo

Mgombea wa ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Chausta, Richard Minja atazindua kampeni zake rasmi leo.

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

ACT - Wazalendo kuzindua kampeni leo

Chama cha ACT – Wazalendo leo kinazindua kampeni zake za uchaguzi kwa kuwatambulisha wagombea wote wa ubunge waliosimamishwa kwenye majimbo ya Tanzania –Bara na Zanzibar.

 

9 years ago

Habarileo

CCK kuzindua kampeni za ubunge leo

CHAMA cha Kijamii (CCK), kinazindua kampeni za ubunge leo jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani