Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wamtafuta mgombea wa Chalinze

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema wampitisha rasmi mgombea ubunge Chalinze

 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempitisha Mathayo Torongey kuwa mgombea rasmi wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze.

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
                                                            DHIDI YA
MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chalinze kuzindua kampeni

>Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha AFP, Ramadhani Mgaya amesema kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwapo kwenye Bunge la Katiba, safari hii yeye binafsi kwa kushirikiana na viongozi waandamizi wa chama hicho ndiyo watakaozindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO MKUU WA CHADEMA ULIOFANYIKA LEO NA KUWAPITISHA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mkutano Mkuu wa CHADEMA ulianza kwa kuimba nyimbo ya taifaShehe Rajabu Katimba akiomba Dua wakati wa mkutano mkuu wa CHADEMA uliofanyika leo Mchungaji Zakaria Kakobe akitoa neno la mungu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu uliofanyika leo    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mlimani...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani