Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE CHALINZE, RAMADHANI MGAYA AJERUHIWA KWA MAPANGA

MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani juu) kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana. Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usiku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze. "Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa Chadema kwa kunisaidia," alisema Mgaya....

 

10 years ago

Michuzi

MUSTAFA PANJU AJINADI KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA ASEMA AKIPATA UBUNGE HAWATAJUTIA KAMWE

SAM_3941Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata mpya ya Olmoti jana ambapo wagombea 12 walipata fursa ya kujitambulisha kwa wananchi na kunadi sera zao, Mustapha panju amesema kuwa kilicho msukuma kugombea nafasi hiyo ni kuakikisha wananchi wa jimbo la arusha wanapata ridhaa ya kuwa na maendeleo ya hali ya juu...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI DMV: MGOMBEA MAKAMU WA RAIS BI SALIMA MOSHI AJINADI

Wana DMV  mimi Salima Moshi ndiye kiongozi  wenu imara nisiyeyumba.  Nitakuwa pamoja nanyi wakati wote kwenye shida na raha na kwenye dhoruba na shwari na kwenye matatizo na mafanikio SITAJITOA na kuwaacha njia panda.
Kwa heshima na taadhima naomba kura zenu mimi SALIMA MOSHI mgombea wa nafasi ya makamu wa Rais DMV. Kujua sera zangu BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala ajinadi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CCM Mjini Sambwee Shitambala akishangiliwa na baadhi ya WanaCCM  Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipokuwa katika kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini. Meneja kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi  ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo katika mkutano wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga Jijini Mbeya.Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani aanza kutimiza ahadi, awashukuru wananchi kwa kumchagua Chalinze

01

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Diwani wa Kata ya Miono. Senguli Mbele moja kati ya matairi manne aliyonunua kwa ajili ya gari la kubebea wagonjwa katika Kituo cha Afya cha Miono, wakati wa mkutano wa kuwashukuru wananchi kwa kumchagua miezi sita iliyopita. Mkutano huo ulifanyika jana katika Kata ya Miono, Chalinze, wilayani Bagamoyo, Pwani.

Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Mmasai mwenye jamii ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chalinze kuzindua kampeni

>Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha AFP, Ramadhani Mgaya amesema kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwapo kwenye Bunge la Katiba, safari hii yeye binafsi kwa kushirikiana na viongozi waandamizi wa chama hicho ndiyo watakaozindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze

 

11 years ago

Habarileo

Chadema wamtafuta mgombea wa Chalinze

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani