Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI DMV: MGOMBEA MAKAMU WA RAIS BI SALIMA MOSHI AJINADI

Wana DMV  mimi Salima Moshi ndiye kiongozi  wenu imara nisiyeyumba.  Nitakuwa pamoja nanyi wakati wote kwenye shida na raha na kwenye dhoruba na shwari na kwenye matatizo na mafanikio SITAJITOA na kuwaacha njia panda.
Kwa heshima na taadhima naomba kura zenu mimi SALIMA MOSHI mgombea wa nafasi ya makamu wa Rais DMV. Kujua sera zangu BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI DMV: Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais,Salima Moshi anadi sera zake

Mimi Salima Moshi,Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais DMV,Napenda kuwa hakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega,tutashirikiana kwa pamoja ili kuendeleza Jumuia yetu hapa DMV.
SITOJITOA kamwe katika dhamana mtakayonikabidhi kama ilivyotokea kwa mgombea mwenzangu tarehe 18 July alijitoa Ubalozini mbele ya viongozi na kusema anajitoa hawezi kugombea tena na kuniendorse mimi.
 Hivyo mtu akijitoa Hataki lawama ina maana kazi haiwezi Msije mkamlaumu,tumeshuhudia wagombea aina hii,hatutaki kufanya...

 

11 years ago

Michuzi

HARRIET SHANGARAI: MGOMBEA WA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV ANAOMBA KURA YAKO

Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV.HARRIET SHANGARAI
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia, nimekuwa muhamasishaji wa misaada ya elimu,chakula mavazi na malazi kwa watoto yatima. Kwa ufupi  nimeona mafanikio ya kina, japo bado wahitaji ni wengi.Vile vile,...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...

 

10 years ago

Michuzi

Mazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV

 Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano haya
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 chini ya utayarishaji wa Vijimambo BlogKaribu uungane nasi kusikia anachopinga

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala ajinadi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CCM Mjini Sambwee Shitambala akishangiliwa na baadhi ya WanaCCM  Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipokuwa katika kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini. Meneja kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi  ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo katika mkutano wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga Jijini Mbeya.Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm...

 

11 years ago

Michuzi

WITO: BALOZI ZETU ZINAPASWA ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - Salima Moshi

Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahili wake wa kucheza na nyoka Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo kwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula alipokwenda kujitambulisha rasmi kwenye Ubalozini wa Tanzania uliopo Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014. Msanii wa siku nyingi na mahili wa kucheza na nyoka Bi. Salma Moshi akiongea na Mhe. Balozi Libetara Mulamula alipotembelea Ubalozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani