Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV

 Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano haya
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 chini ya utayarishaji wa Vijimambo BlogKaribu uungane nasi kusikia anachopinga

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI PROF. PARAMAGAMBA KABUDI AKUTANA NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA TAWI LA CCM LA DMV, WASHINGTON DC SALMA MOSHI NCHINI MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Katibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) la DMV Washington DC, Ndugu  Salma Moshi walipokutana nchini Marekani, jana.

 

10 years ago

Michuzi

Mazungumzo na Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris baada ya Uchaguzi DMV

Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojianoAgosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Wamaketi na Vijimambo Blog na Kwanza Production kueleza sababu hasa za kupinga matokeo...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI DMV: MGOMBEA MAKAMU WA RAIS BI SALIMA MOSHI AJINADI

Wana DMV  mimi Salima Moshi ndiye kiongozi  wenu imara nisiyeyumba.  Nitakuwa pamoja nanyi wakati wote kwenye shida na raha na kwenye dhoruba na shwari na kwenye matatizo na mafanikio SITAJITOA na kuwaacha njia panda.
Kwa heshima na taadhima naomba kura zenu mimi SALIMA MOSHI mgombea wa nafasi ya makamu wa Rais DMV. Kujua sera zangu BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI DMV: Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais,Salima Moshi anadi sera zake

Mimi Salima Moshi,Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais DMV,Napenda kuwa hakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega,tutashirikiana kwa pamoja ili kuendeleza Jumuia yetu hapa DMV.
SITOJITOA kamwe katika dhamana mtakayonikabidhi kama ilivyotokea kwa mgombea mwenzangu tarehe 18 July alijitoa Ubalozini mbele ya viongozi na kusema anajitoa hawezi kugombea tena na kuniendorse mimi.
 Hivyo mtu akijitoa Hataki lawama ina maana kazi haiwezi Msije mkamlaumu,tumeshuhudia wagombea aina hii,hatutaki kufanya...

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA WANAWAKE WATANZANIA WAJASIRIAMALI WA DMV JIJINI WASHINGTON

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa Ndugu Juster Mutakyawa mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Marekani iliyoko Washington  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wajasiriamali cha Watanzania wanaoishi Washington kiitwacho TANO Ladies Ndugu Asha Hariz wakati...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - Salma Moshi

Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahili wake wa kuchea na nyoka Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula alipokwenda kujitambulisha rasmi kwenye Ubalozini wa Tanzania uliopo Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014. Msanii wa siku nyingi na mahili wa kucheza na nyoka Bi. Salma Moshi aliongea na Mhe. Balozi Libetara Mulamula alipotembelea Ubalozi wa...

 

11 years ago

GPL

BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU‏ - SALMA MOSHI

Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahiri wake wa kucheza na nyoka, Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula alipokwenda kujitambulisha rasmi kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014.…
...

 

9 years ago

Vijimambo

JUKWAA LA SANAA LAFANA, SALMA MOSHI AWALIPIA WASANII BIMA YA AFYA



Baadhi ya wasanii wakimsikiliza Salma MoshiMwandishi maarufu Khadija Khalili (mwenye daftari) akifuatilia maada
Mwenyekiti wa CHAMRUMBA akiwa na Mzee Mapili
Francis Kaswahili mwenye kofia Mwenyekiti TAFOMUDEA



Abbu Omari mwanamuziki aishiye JapanSalma Moshi na Mzee MapiliMeza Kuu
Group Picture
Salma akiwa na baadhi ya wasanii aliowalipia sehemu ya Bima ya Afya


Jukwaa La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani