BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - SALMA MOSHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s1600/Sanaa.Still019.jpg)
Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahiri wake wa kucheza na nyoka, Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula alipokwenda kujitambulisha rasmi kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s72-c/Sanaa.Still019.jpg)
BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - Salma Moshi
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s1600/Sanaa.Still019.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AzvBKqsCD8w/UwRx7mY-j1I/AAAAAAACbGU/ZIFdxD1ETJo/s1600/Sanaa.Still021.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s72-c/Sanaa.Still019.jpg)
WITO: BALOZI ZETU ZINAPASWA ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - Salima Moshi
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s1600/Sanaa.Still019.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AzvBKqsCD8w/UwRx7mY-j1I/AAAAAAACbGU/ZIFdxD1ETJo/s1600/Sanaa.Still021.jpg)
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu- 2
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Kiswahili na uhusiano wetu na utamaduni wa kiarabu
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu - 3
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Tujenge utamaduni wa kuunga mkono wasanii wetu
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
“Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu” — Mama Salma Kikwete
MKE wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Tamasha la kwanza la vitabu vya watoto sambamba na kampeni ya usomaji yenye kauli mbiu ‘Mpe Kila Mtoto Kitabu’ kwenye uzinduzi uliofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka walezi na wazazi nchini kuwanunulia vitabu watoto wao ili kuwajengea utamaduni wa kupenda kujisomea vitabu vya ziada...
10 years ago
MichuziMazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 chini ya utayarishaji wa Vijimambo BlogKaribu uungane nasi kusikia anachopinga
9 years ago
VijimamboJUKWAA LA SANAA LAFANA, SALMA MOSHI AWALIPIA WASANII BIMA YA AFYA
Jukwaa La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya...