JUKWAA LA SANAA LAFANA, SALMA MOSHI AWALIPIA WASANII BIMA YA AFYA
Baadhi ya wasanii wakimsikiliza Salma Moshi
Mwandishi maarufu Khadija Khalili (mwenye daftari) akifuatilia maada
Mwenyekiti wa CHAMRUMBA akiwa na Mzee Mapili
Francis Kaswahili mwenye kofia Mwenyekiti TAFOMUDEA
Abbu Omari mwanamuziki aishiye Japan
Salma Moshi na Mzee Mapili
Meza Kuu
Group Picture
Salma akiwa na baadhi ya wasanii aliowalipia sehemu ya Bima ya Afya
Jukwaa La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziJUKWAA LA SANAA LAFANA, MSANII MKONGWE AISHIYE MAREKANI SALMA MOSHI AWALIPIA WASANII BIMA YA AFYA
Jukwaa La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya zaidi ya masaa matano. Wasanii takriban 70 walikaa wakichambua maada mbalimbali kuhusu mustakhabari wa sanaa katika nchi yetu. Jambo ambalo liliingiza changamoto katika jukwaa hili, ni kuweko katika meza kuu wasanii wawili ambao walianza sanaa nchini na hatimae kuhamia ughaibuni ambako ndiko wanaishi kwa sasa.
Wasanii Salma Moshi aliyekuwa akijulikana kama...
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Bima ya Afya yawakabidhi kadi wasanii
NA ASIFIWE GEORGE
WASANII wanachama katika mtandao wa wanamuziki Tanzania waliokamilisha taratibu zinazohitajika na mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya wamekabidhiliwa kadi za matibabu.
Wasanii hao walikabidhiwa kadi hizo jana, baada ya mafunzo ya uelewa juu ya shughuli za mfuko huo pamoja na faida wanazonufaika nazo wanachama wa mfuko huo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando, alisema huo ni utekelezaji uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha wasanii wanakuwa na bima ya afya ili...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HuMMOERHkUs/VdggBAYS7vI/AAAAAAAHzDk/FDKhIEakwMg/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...
11 years ago
MichuziWaziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaf5Mvqu5oYa-Sld-Ljmi-Uc4UfmSD1ExIvJIrezxUZAoyrZ5cY1sMF2pzygAsErWx7GxnS2BNbIZ4nSg1xXJPvl/1.jpg?width=650)
11 years ago
Mwananchi01 Jul
AFYA: Hofu yatanda Mfuko Bima ya Afya
5 years ago
MichuziMFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.
Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.
Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Mtoto wa Baba wa Taifa na Vitalis Maembe kupanda Mlima Kilimanjaro kuchangia jukwaa la sanaa
Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni la kuitisha mkutano huo.
Na Mwandishi wetu
Madaraka Nyerere, Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, pamoja na Mwanamuziki Mzalendo Vitali Maembe wameteuliwa na shirika lisilo la kiserikali Culture and Development East Africa (CDEA) kuwa mabalozi wa kushiriki kampeni ya kupanda Mlima...