Mtoto wa Baba wa Taifa na Vitalis Maembe kupanda Mlima Kilimanjaro kuchangia jukwaa la sanaa
Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni la kuitisha mkutano huo.
Na Mwandishi wetu
Madaraka Nyerere, Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, pamoja na Mwanamuziki Mzalendo Vitali Maembe wameteuliwa na shirika lisilo la kiserikali Culture and Development East Africa (CDEA) kuwa mabalozi wa kushiriki kampeni ya kupanda Mlima...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMTOTO WA BABA WA TAIFA NA VITALIS MAEMBE KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA JUKWAA LA SANAA
11 years ago
MichuziMTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw...
10 years ago
VijimamboHIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Aahidi kuwa balozi wa kupanda Mlima Kilimanjaro
11 years ago
MichuziKINAPA YATANGAZA OFA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
Mkuu wa idara ya utalii katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Eva Mallya akitoa ufafanuzi juu ya utaratibu mpya wa kuhamasisha utalii wa ndani.kushoto kwake ni afisa Masoko wa hifadhi hiyo Antipas Juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa umakini mkuu wa idara ya utalii katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro Eva Mallya Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
HIFADHI ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro ,imetoa fursa kwa wananchi wa...
10 years ago
MichuziMAGEREZA WAJIFUA TAYARI KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Mtanzania apania rekodi ya dunia kupanda Mlima Kilimanjaro
NA FESTO POLEA
MTANZANIA mzaliwa wa Mkoa wa Iringa, Julio Ludago, anatarajia kuvunja rekodi ya dunia ya kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro kwa kutumia muda mfupi zaidi bila kuwa na usaidizi wowote.
Mtanzania huyo anayefanya kazi katika kampuni ya kutembeza watalii ya Ahsante Tours, anataka kuvunja rekodi mbili kubwa zaidi zilizowekwa na Mswisi na Mtanzania, siku ya Septemba 27 mwaka huu, atakapopanda mlima huo.
Ecuadorian Karl Egloff kutoka Uswisi ndiye anayeshikilia rekodi ya kupanda na...
10 years ago
VijimamboMAANDALIZI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO-MAAFISA NA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA
10 years ago
MichuziSAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA SIKU YA KWANZA
Baada ya kupumzika katika eneo la Kisambioni na kupata chakula ,safari iliendelea ya kwenda kituo cha Mandara.Kila mmoja alikuwa na Morali ya juu wakati wote wa kupanda Mlima Kilimanjaro.Baada ya kuongoza msafara wa Mabalozi kama ishara ya kuanzisha...