WITO: BALOZI ZETU ZINAPASWA ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - Salima Moshi
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s72-c/Sanaa.Still019.jpg)
Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahili wake wa kucheza na nyoka Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo kwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula alipokwenda kujitambulisha rasmi kwenye Ubalozini wa Tanzania uliopo Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014.
Msanii wa siku nyingi na mahili wa kucheza na nyoka Bi. Salma Moshi akiongea na Mhe. Balozi Libetara Mulamula alipotembelea Ubalozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s72-c/Sanaa.Still019.jpg)
BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - Salma Moshi
![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s1600/Sanaa.Still019.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AzvBKqsCD8w/UwRx7mY-j1I/AAAAAAACbGU/ZIFdxD1ETJo/s1600/Sanaa.Still021.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-yEak76veix0/UwRx7euCU_I/AAAAAAACbGg/pUg7I-_8LVQ/s1600/Sanaa.Still019.jpg)
BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU - SALMA MOSHI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-x9mUs9nEUGM/U9YVtBI3WII/AAAAAAAF7S0/jjTcfvPeSDs/s72-c/d8cec92270ea8762f4c3d27474c80030.jpg)
UCHAGUZI DMV: MGOMBEA MAKAMU WA RAIS BI SALIMA MOSHI AJINADI
![](http://2.bp.blogspot.com/-x9mUs9nEUGM/U9YVtBI3WII/AAAAAAAF7S0/jjTcfvPeSDs/s1600/d8cec92270ea8762f4c3d27474c80030.jpg)
Kwa heshima na taadhima naomba kura zenu mimi SALIMA MOSHI mgombea wa nafasi ya makamu wa Rais DMV. Kujua sera zangu BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-iMBi-CzAWmY/U9tCv5i8oeI/AAAAAAAF8Jc/Cwf9QUaf1XI/s72-c/d8cec92270ea8762f4c3d27474c80030.jpg)
UCHAGUZI DMV: Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais,Salima Moshi anadi sera zake
![](http://4.bp.blogspot.com/-iMBi-CzAWmY/U9tCv5i8oeI/AAAAAAAF8Jc/Cwf9QUaf1XI/s1600/d8cec92270ea8762f4c3d27474c80030.jpg)
SITOJITOA kamwe katika dhamana mtakayonikabidhi kama ilivyotokea kwa mgombea mwenzangu tarehe 18 July alijitoa Ubalozini mbele ya viongozi na kusema anajitoa hawezi kugombea tena na kuniendorse mimi.
Hivyo mtu akijitoa Hataki lawama ina maana kazi haiwezi Msije mkamlaumu,tumeshuhudia wagombea aina hii,hatutaki kufanya...
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu - 3
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu- 2
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Kiswahili na uhusiano wetu na utamaduni wa kiarabu
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Tujenge utamaduni wa kuunga mkono wasanii wetu