ACT kuzindua kampeni wakirejeshewa ratiba
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kitatoa ratiba ya uzinduzi wa kampeni zao wao mara tu Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakapopitia ratiba yao na kuibariki. Ofisa habari wa chama hicho Abdalah Hamis alisema jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili kuhusu uzinduzi rasmi wa kampeni kwa chama hicho.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Aug
ACT kuzindua kampeni J’pili
9 years ago
Mwananchi30 Aug
ACT - Wazalendo kuzindua kampeni leo
9 years ago
Habarileo26 Aug
ACT Wazalendo kuzindua kampeni Jumapili, Ukawa Jumamosi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumapili Agosti 30, katika viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamisi alimwambia mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kuwa mgombea urais, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Mussa Yusuf watamwaga sera zao kwa wakazi wa Dar es Salaam siku hiyo.
9 years ago
Michuzi23 Aug
KAMPENI ZA URAIS ZAANZA RASMI, TUME YATOA RATIBA ZA MAENEO NA MUDA WA KAMPENI
Tume ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe mojaMkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao kikao...
9 years ago
Michuzi11 years ago
Mwananchi05 Mar
Chausta kuzindua kampeni leo
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Mgombea Chalinze kuzindua kampeni
9 years ago
Habarileo13 Sep
CCM kuzindua kampeni Zanzibar leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani hapa kinazindua kampeni leo mjini hapa, huku mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein akitarajiwa kuhutubia.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
CCM kuzindua kampeni Chalinze leo