Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Marufuku wanachama wa ACT - Wazalendo kushabikia Ukawa’

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kila mwanachama anapaswa kuwaunga mkono wagombea watakaopitishwa na chama hicho katika nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwani kinyume chake ni kukisaliti na adhabu yake ni kufukuzwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo

Zaidi ya wanachama 100 kutoka CCM, Kata ya Chihanga, Manispaa ya Dodoma wamejiunga na ACT- Wazalendo.

 

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA YASAMBARATIKA LUDEWA BAADA YA WANACHAMA WAKE ZAIDI YA 500 WAHAMIA ACT - WAZALENDO

Wanachama  wa Chadema wilaya ya  Ludewa  mkoa wa  Njombe  wakiandamana  kupinga  maamuzi ya  chama  hicho  kukata  jina la mshindi  wa  kura  za maoni na  kumteua  aliyeshindwa ,mbali ya  kuandamana  pia  wanachama  hao  zaidi ya  500  walikihama  chama  hicho na  kujiunga na  ACT  WazalendoWanachama  wa  Chadema  waliohamia ACT wazalendo  wakiwa na  mabango ya  kukituhumu  chama   hicho  kwa  kukiuka  DemokrasiaWanachadema  wakiwa  nje ya  ofisi ya  ACT  Wazalendo  ambako  walifika  kuomba ...

 

10 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo waomba kujiunga Ukawa

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira amesema chama hicho hakina matatizo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na hata sasa kinasubiri majibu ya barua yao waliyoituma kwa umoja huo kuomba kuunganishwa.

 

9 years ago

Habarileo

ACT Wazalendo kuzindua kampeni Jumapili, Ukawa Jumamosi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumapili Agosti 30, katika viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamisi alimwambia mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kuwa mgombea urais, Anna Mghwira na mgombea mwenza wake, Hamad Mussa Yusuf watamwaga sera zao kwa wakazi wa Dar es Salaam siku hiyo.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO‏

 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.   Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT Wazalendo kuimarisha kilimo

Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira amesema umaskini wa Mtanzania hauwezi kuondolewa kwa maneno, bali ni katika kutekeleza shughuli za kilimo.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo

Chama cha ACT-Wazalendo juzi kimehitimisha siku 10 za awamu ya kwanza kwa kutembelea mikoa minane ya Tanzania Bara, huku wakisisitiza kaulimbiu yao ya utu, uzalendo na uadilifu.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT Wazalendo: Muungano ni maridhiano

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema suala la Muungano linataka maridhiano na siyo masharti ya kutoka upande wowote unaouunda.

 

10 years ago

TheCitizen

Act-Wazalendo to go it alone in polls, Zitto says

Dar es Salaam. Opposition ACT-Wazalendo yesterday declared it will go into the October General Election alone, thus ending any chance that the party will join the coalition Ukawa that brings together other main opposition parties.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani