Policy Forum wataka Uchaguzi Serikali za Mitaa ufanyike 2015
Taasisi ya Policy Forum inayojumuisha asasi za kiraia 70 nchini imeishauri Serikali kuahirisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuuchanganya na uchaguzi mkuu utakaofanyika 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
11 years ago
Mwananchi15 Mar
‘Uchaguzi Serikali za Mitaa ufanyike mwakani’
10 years ago
Habarileo14 Dec
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutoa taswira ya ushindani 2015
UCHAGUZI wa serikali za mitaa unafanyika leo nchini kote ambapo chama tawala CCM, kinashindana na vyama vya upinzani katika kujenga nguvu kwa ajili ya kushinda uchaguzi mkuu ujao mwakani.
10 years ago
Dewji Blog08 May
Soma tamko la Wanachama wa Policy Forum juu ya Miswada ya Takwimu na Makosa ya Mtandao,2015
TAMKO LA WANACHAMA WA POLICY FORUM: Miswada ya Takwimu pamoja na Makosa ya Mtandao, 2015
Sisi, wanachama wa Policy Forum, Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali, tuliokutana tarehe 29 na 30 Aprili, 2015 katika mkutano wetu wa mwaka (AGM) Dar es salaam, tumesoma na kuchambua kwa kina Miswada ya Sheria ya Takwimu pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kwa lengo la kujieleimisha na masuala ya katiba na uchaguzi mkuu 2015.
1. SHERIA YA TAKWIMU NA SHERIA YA MAKOSA YA...
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
Habarileo14 Sep
Uchaguzi serikali za mitaa Des 14
KIPENGA cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kinatarajiwa kupulizwa Novemba 30 mwaka huu na uchaguzi kufanyika Desemba 14 chini ya sheria zilizopo.
11 years ago
Habarileo13 Jul
JK: Uchaguzi serikali za mitaa kusogezwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya Katiba.
10 years ago
Mwananchi10 Jan
‘Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa’