Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Serikali yakiri kuwepo mgogoro ranchi ya Kalambo
SERIKALI imekiri kuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji cha Katapulo na ranchi ya Kalambo, mkoani Rukwa. Hata hivyo, imesema iko katika mchakato wa kuhakikisha inamaliza migogoro hiyo hata...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Bila kuondoa kasoro chaguzi Serikali za Mitaa, wapinzani ni wasindikizaji tu
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s72-c/HAWA%2BGHASIA.jpg)
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s1600/HAWA%2BGHASIA.jpg)
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
‘Uchaguzi serikali za mitaa usiahirishwe’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema hakuna haja ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kisingizio cha mchakato wa katiba kwani masuala hayo hayahusiani. Hayo...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Uchaguzi Serikali za Mitaa shakani
UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, upo shakani kufanyika. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akizungumza na mameya wa majiji, manispaa na...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa
10 years ago
Mwananchi10 Jan
‘Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa’
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Maajabu uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Waandishi Wetu, Dar na Mwanza
HAYA ni maajabu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wapiga katika kituo cha Shule ya Msingi Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam kufika kituoni na kukuta majina yao yakionyesha tayari wamepiga kura.
Hali hiyo, ilisababisha kuibuka vurugu kubwa ambazo zilisababisha upigaji kura katika uchaguzi huo wa marudio, kusitishwa kwa muda.
Msimamizi wa uchaguzi katika kituo hicho, Nasoro Kichuma alisema uchaguzi huo ulianza vizuri, lakini kadrii muda ulivyozidi kwenda...