Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bila kuondoa kasoro chaguzi Serikali za Mitaa, wapinzani ni wasindikizaji tu

Tukio kubwa linalotazamwa kwa umakini na wanasiasa wa Tanzania hivi sasa, ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watabiri machafuko chaguzi serikali za mitaa

MAKUNDI maalumu katika jamii mkoani hapa, yametabiri machafuko ya kisiasa kutokea nchini katika chaguzi zijazo za serikali za mitaa. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa watu wenye ulemavu wa ngozi mkoani...

 

10 years ago

StarTV

Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

Na, Winifrida Ndunguru

Dar Es Salaam.

15 December 2014

 

 

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

 

 

Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.

 

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijiji, vitongoji vipya kushiriki chaguzi Serikali za mitaa

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Yona Maki, amesema jumla ya vijiji 151 na vitongoji 746 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Akizungunguza...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEJIPANGA KUONDOA KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MIRADI YA REA-MGALU

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati na taasisi zake zinazohusiana umeme zimejipanga kikamilifu kuhakikisha inaziondoa kasoro ambazo zilijitokeza kwenye miradi ya REA iliyopita.

Ayasema hayo,Februari 26,2020, wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kiromba,Kata ya Kiromba,Wilaya ya Mtwara vijiji,Mkoani Mtwara,kabla ya kuwasha umeme kwenye kijiji hicho.

Amezitaja baadhi  kasoro hizo nia pamoja na baadhi ya wakandarasi kupewa maeneo makubwa ya...

 

10 years ago

GPL

NGELEJA: SERIKALI ZA MITAA TUMEWAKIMBIZA WAPINZANI

Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja. Stori: Erick Evarist
MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja ameweka wazi kuwa pamoja na ushindani kuwa mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni, anajivunia ushindi mzito walioupata kupitia chama chake. Uchaguzi huo ulifanyika nchi nzima Desemba 14, mwaka huu ambapo licha ya kasoro ndogondogo zilizojitokeza katika baadhi ya maeneo na kusababisha...

 

9 years ago

Raia Mwema

Aibu ni chaguzi za Z’bar, sio wapinzani kususa Bunge

BAADA ya yaliyotokea wiki iliyopita katika shughuli ya uzinduzi wa Bunge, watu wengi, hususan wan

Njonjo Mfaume

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa za Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, leo jioniWana CCM wakimshangilia Nape alipowasili kwenye mkutano huoWananchi wakimshangilia Nape alipowasili kwenye mkutano huoNape akiwa Jukwaa Kuu pamoja na viongozi wa CCM baada ya kuwasili kwenye mkutano huoLwiza Mbutu akiongoza bendi ya Twanga Pepeta kutumbuiza baada ya kuwasili Nape...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA

Na Bashir Nkoromo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa.  Akihutubia kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na takwimu CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 2708, mitaa 644, na vitongoji zaidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAGUZI ZA MITAA KATIKA PICHA JIJINI DAR

Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Mtendeni Kata ya Kisutu kama kinavyoonekana katika picha wapiga kura hawakuweza kupiga kura kutokana na kwamba na wagombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo kukosa wapinzani na hivyo kupita bila kipingamizi,.Mkazi wa karikoo Mashariki , Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo Mwenyekiti na Wajumbe leo jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani