Vijiji, vitongoji vipya kushiriki chaguzi Serikali za mitaa
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Yona Maki, amesema jumla ya vijiji 151 na vitongoji 746 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Akizungunguza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV21 Aug
Serikali za vijiji, mitaa, vitongoji zatakiwa kuwajibika
Serikali za vijiji, mitaa na vitongoji nchini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watoto wenye ulemavu katika maeneo yao ili kuhakikisha kuwa wanaandikishwa shuleni badala ya kuacha jukumu hilo kwa wazazi na walezi ambao baadhi yao wanawaficha majumbani kwa imani potofu.
Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya walemavu mkoani Singida wanaotekeleza mradi wa My Rights wilayani Iramba baada ya kuwatambua watoto 15 wenye ulemavu ambao licha ya kuwa na umri wa kwenda shule...
5 years ago
Michuzi
RC Gambo Awaonya Wenyeviti wa Mitaa vijiji na Vitongoji
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesitisha kwa muda kuendelea na shughuli yeyote kwenye eneo la Losirwa kata ya Moshono hadi Serikali itakapotoa maelekezo Mengine ambapo amewaonya Wenyeviti wa Mitaa kuacha kuchukuwa fedha na kutoa vibali vya Ununuzi wa Ardhi kwenye maeneo yenye Migogoro.
Aidha Amezitaka halmashauri za wilaya kuacha kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi kwenye maeneo yenye migogoro kwa kuwa inaleta mikanganyiko kwenye jamii na kuleta ugumu wakati wa...
10 years ago
Michuzi
CCM YAONGOZA UCHAGUZI VIJIJI,VITONGOJI NA MITAA MKOA WA PWANI

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimeonyesha kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji ambapo kwenye matokeo ya awali kimeonekana kushinda maeneo mengi.
Katika Jimbo la Mafia CCM ilishinda vitongoji 96 kati ya 136 sawa na asilimia 70 Chama Cha Wananchi CUF asilimia 40 sawa na asilimia 29,katika vijiji CCM ilishinda vijiji 19 kati ya 23 sawa na asilimia 82.6 CUF vijiji 4 sawa na asilimia 17.3.
Katika Jimbo la Kibaha Mjini kati ya...
10 years ago
Habarileo09 Nov
Vitongoji 5 vyatishia kutoshiriki uchaguzi serikali za mitaa
VITONGOJI vitano katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma vimetishia kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa iwapo havitapewa hadhi ya kuwa vijiji.
11 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Watabiri machafuko chaguzi serikali za mitaa
MAKUNDI maalumu katika jamii mkoani hapa, yametabiri machafuko ya kisiasa kutokea nchini katika chaguzi zijazo za serikali za mitaa. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa watu wenye ulemavu wa ngozi mkoani...
11 years ago
Mwananchi22 Oct
Bila kuondoa kasoro chaguzi Serikali za Mitaa, wapinzani ni wasindikizaji tu
10 years ago
GPLADC KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KWA SHINGO UPANDE
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Lowassa: Nitalipa posho wenyeviti vijiji, vitongoji
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi (CCM) Singida amewahimiza wanaCCM kushiriki uchaguzi wa serikali ya mitaa
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi (CCM) mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami (wa kwanza kushoto) akiingia kwenye viwanja vya shule ya msingi kijiji cha Manguamitogho manispaa ya Singida, kwa ajili ya kuhutubia wana CCM na wananchi wa manispaa ya Singida kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wazazi kimkoa.Wa pili kushoto ni mchumi wa manispaa ya Singida, Mollel.
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi (CCM) mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, akipanda mti ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya...