CCM YAONGOZA UCHAGUZI VIJIJI,VITONGOJI NA MITAA MKOA WA PWANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hjZOYC_pEQ4/VI8EnFeq8xI/AAAAAAAG3ZA/mjfKpyeTrro/s72-c/Chama-Cha-Mapinduzi.jpg)
Na John Gagarini, Kibaha
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimeonyesha kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji ambapo kwenye matokeo ya awali kimeonekana kushinda maeneo mengi.
Katika Jimbo la Mafia CCM ilishinda vitongoji 96 kati ya 136 sawa na asilimia 70 Chama Cha Wananchi CUF asilimia 40 sawa na asilimia 29,katika vijiji CCM ilishinda vijiji 19 kati ya 23 sawa na asilimia 82.6 CUF vijiji 4 sawa na asilimia 17.3.
Katika Jimbo la Kibaha Mjini kati ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tDFztm2iUjo/XqMBmykJtUI/AAAAAAALoGo/43ieivMZ6C4zpi9U3Dq6B14US1OiGltIQCLcBGAsYHQ/s72-c/92ca58b2-cc17-49dd-9ff7-adbfe25e2d0e.jpg)
RC Gambo Awaonya Wenyeviti wa Mitaa vijiji na Vitongoji
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesitisha kwa muda kuendelea na shughuli yeyote kwenye eneo la Losirwa kata ya Moshono hadi Serikali itakapotoa maelekezo Mengine ambapo amewaonya Wenyeviti wa Mitaa kuacha kuchukuwa fedha na kutoa vibali vya Ununuzi wa Ardhi kwenye maeneo yenye Migogoro.
Aidha Amezitaka halmashauri za wilaya kuacha kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi kwenye maeneo yenye migogoro kwa kuwa inaleta mikanganyiko kwenye jamii na kuleta ugumu wakati wa...
9 years ago
StarTV21 Aug
Serikali za vijiji, mitaa, vitongoji zatakiwa kuwajibika
Serikali za vijiji, mitaa na vitongoji nchini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watoto wenye ulemavu katika maeneo yao ili kuhakikisha kuwa wanaandikishwa shuleni badala ya kuacha jukumu hilo kwa wazazi na walezi ambao baadhi yao wanawaficha majumbani kwa imani potofu.
Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya walemavu mkoani Singida wanaotekeleza mradi wa My Rights wilayani Iramba baada ya kuwatambua watoto 15 wenye ulemavu ambao licha ya kuwa na umri wa kwenda shule...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Vijiji, vitongoji vipya kushiriki chaguzi Serikali za mitaa
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Yona Maki, amesema jumla ya vijiji 151 na vitongoji 746 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Akizungunguza...
10 years ago
Habarileo09 Nov
Vitongoji 5 vyatishia kutoshiriki uchaguzi serikali za mitaa
VITONGOJI vitano katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma vimetishia kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa iwapo havitapewa hadhi ya kuwa vijiji.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nDCjxdQUMRc/VI7vNXlpfZI/AAAAAAAG3WY/dXomjwhpP8k/s72-c/IMG_5789.jpg)
CCM YAONGOZA UWENYEKITI WA MTAA MKOA WA ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-nDCjxdQUMRc/VI7vNXlpfZI/AAAAAAAG3WY/dXomjwhpP8k/s1600/IMG_5789.jpg)
Chama cha mapinduzi kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa uwenyekiti wa mitaa katika mitaa yote iliopo ndani ya mkoa wa Arusha baada ya kuvishinda vyama vingine vya upinzani .
Akitangaza matokeo ya uwenyeviti wa mitaa Mkurugenzi wa jiji la Arusha Iddi Juma alisema kuwa mpaka sasa uchaguzi wa uwenyekiti umekamilika katika mitaa yote na vituo vyote isipokuwa kituo kimoja ambacho uchaguzi wake utarudiwa siku ya kesho.
Alisema kuwa katika uchaguzi huu jumla ya wananchi ...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Lowassa: Nitalipa posho wenyeviti vijiji, vitongoji
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OdezeTmklgU/Xkg6RqxUtgI/AAAAAAALdgs/ChkPrBbMuY8cFiKKUM4qlLVinbr2070HACLcBGAsYHQ/s72-c/F87A2752-2.jpg)
MAADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA PWANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-OdezeTmklgU/Xkg6RqxUtgI/AAAAAAALdgs/ChkPrBbMuY8cFiKKUM4qlLVinbr2070HACLcBGAsYHQ/s640/F87A2752-2.jpg)
5 years ago
CCM BlogMAMA SAMIA ANOGESHA MADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA PWANI
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Diwani CCM asaidia uchaguzi wa mitaa