Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YAONGOZA UWENYEKITI WA MTAA MKOA WA ARUSHA

Na Woinde Shizza,Arusha
Chama cha mapinduzi kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa uwenyekiti wa mitaa katika mitaa yote iliopo ndani ya mkoa wa Arusha baada ya kuvishinda vyama vingine vya upinzani .
Akitangaza  matokeo ya uwenyeviti wa mitaa Mkurugenzi wa jiji la Arusha Iddi Juma alisema kuwa mpaka sasa uchaguzi wa uwenyekiti umekamilika katika mitaa yote na vituo vyote isipokuwa kituo kimoja ambacho uchaguzi wake utarudiwa siku ya kesho.
Alisema kuwa   katika uchaguzi huu jumla ya wananchi ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM YAONGOZA UCHAGUZI VIJIJI,VITONGOJI NA MITAA MKOA WA PWANI

Na John Gagarini, Kibaha
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimeonyesha kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji ambapo kwenye matokeo ya awali kimeonekana kushinda maeneo mengi.
Katika Jimbo la Mafia CCM ilishinda vitongoji  96 kati ya 136 sawa na asilimia 70 Chama Cha Wananchi CUF asilimia 40 sawa na asilimia 29,katika vijiji  CCM ilishinda vijiji 19 kati ya 23 sawa na asilimia 82.6 CUF vijiji 4 sawa na asilimia 17.3.
Katika Jimbo la Kibaha Mjini kati ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA WAPEWA PIKIPIKI NA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA

SAM_3542Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Africa Mashariki  Mh.Bernard Murunya amabye alikuwa mgeni rasmi katika tukio la kukabidhi pikipiki,akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa katibu jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Rehema Mohamed jana katika makao makuu ya chama  hicho jijini Arusha, jumla ya pikipiki saba zilikabidhiwa kwa Wilaya saba katika Mkoa wa Arusha huku Mwenyekiti wa Taifa  Abdalah Bulembo pamoja Baraza kuu Taifa wakifanya jitihada za kupatikana kwa Pikipiki...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020  Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Arusha yaongoza kumiliki bastola

Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola.

 

10 years ago

Michuzi

ARUSHA YAONGOZA MICHUANO YA WAZI TENISI KWA VIJANA.

 Na Woinde Shizza,ArushaJiji la Arusha limeendelea kuwa kinara katika mchezo wa tenisi baada ya wachezaji wake kuibuka kidedea kwa kutwaa ushindi katika umri tofauti tofauti ,mashindano yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Arusha Tenisi gymkhana klabu.
Mashindano hayo yalidhaminiwa na Jubilee tyres ikiwa ni mwaka wa tatu sasa, yalishirikisha jumla ya wachezaji 90 ambao 28 kati yao ni wasichana kutoka Dar es salaam gymkhana klabu,Kijitonyama tenisi klabu kutoka Dar es...

 

9 years ago

Habarileo

CCM yaongoza halmashauri 3 Rukwa

MADIWANI wa Halmashauri tatu kati ya nne mkoani Rukwa wamefanya uchaguzi wa kuchagua wenyeviti na makamu wenyeviti ambapo CCM imeibuka kidedea kwa kushinda nafasi hizo kwa kishindo.

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI YANAYORATIBIWA NA WCF JIJINI ARUSHA

Na mwandishi wetu, ArushaMKUU wa Mkoa wa Arusha, Idd Hassan Kimanta amesema Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) una faida kubwa kwa Wafanyakazi, Waajiri na Taifa kwa ujumla kwa vile Wafanyakazi sasa wana kinga ya kipato hata kama watapatwa na ajali, magonja kutokana na kazi.

Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo leo Juni 24, 2020 katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongesi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani