MAKATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA WAPEWA PIKIPIKI NA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Africa Mashariki Mh.Bernard Murunya amabye alikuwa mgeni rasmi katika tukio la kukabidhi pikipiki,akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa katibu jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Rehema Mohamed jana katika makao makuu ya chama hicho jijini Arusha, jumla ya pikipiki saba zilikabidhiwa kwa Wilaya saba katika Mkoa wa Arusha huku Mwenyekiti wa Taifa Abdalah Bulembo pamoja Baraza kuu Taifa wakifanya jitihada za kupatikana kwa Pikipiki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Jul
MAKATIBU WAPEWA PIKIPIKI NA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA ARUSHA
![SAM_3542](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/-_OIpLaiznD9W9_-mvcKhtVs9Ttj5NN6xdXZD5ti6sYmu34kYi3wpPQCSvUcnGLesXoZKfQRcPgYtFXGkcXAE-8HLICjF_E7yS5Src65c1yKuMc=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_3542.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Nov
JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDUA DAFTARI LA WANACHAMA WAKE
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-IvGplFBu2eM/VccjfnxwVRI/AAAAAAABTUo/sh_UTnWFjlM/s72-c/1439111816672.jpg)
BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-IvGplFBu2eM/VccjfnxwVRI/AAAAAAABTUo/sh_UTnWFjlM/s640/1439111816672.jpg)
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-hQLGpUFVlqA/XrQRRtIqMdI/AAAAAAACKMY/Q2LCfHHfPSMaITj1SFVUDBMmFwccFJ9XACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200507_163135.jpg)
KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA KILIMANAJRO LUGANO MWAFONGO, AFARIKI DUNIA, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-hQLGpUFVlqA/XrQRRtIqMdI/AAAAAAACKMY/Q2LCfHHfPSMaITj1SFVUDBMmFwccFJ9XACLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200507_163135.jpg)
9 years ago
MichuziTIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nDCjxdQUMRc/VI7vNXlpfZI/AAAAAAAG3WY/dXomjwhpP8k/s72-c/IMG_5789.jpg)
CCM YAONGOZA UWENYEKITI WA MTAA MKOA WA ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-nDCjxdQUMRc/VI7vNXlpfZI/AAAAAAAG3WY/dXomjwhpP8k/s1600/IMG_5789.jpg)
Chama cha mapinduzi kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa uwenyekiti wa mitaa katika mitaa yote iliopo ndani ya mkoa wa Arusha baada ya kuvishinda vyama vingine vya upinzani .
Akitangaza matokeo ya uwenyeviti wa mitaa Mkurugenzi wa jiji la Arusha Iddi Juma alisema kuwa mpaka sasa uchaguzi wa uwenyekiti umekamilika katika mitaa yote na vituo vyote isipokuwa kituo kimoja ambacho uchaguzi wake utarudiwa siku ya kesho.
Alisema kuwa katika uchaguzi huu jumla ya wananchi ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DmuJcS3HXhk/VX5IGzsdJjI/AAAAAAAC6oQ/eTvH-CUJkGo/s72-c/70.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DmuJcS3HXhk/VX5IGzsdJjI/AAAAAAAC6oQ/eTvH-CUJkGo/s640/70.jpg)
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
9 years ago
Vijimambo27 Sep
MWIGULU AVUNA KURA ZA MKOA WOTE WA TABORA KWENDA CCM,SASA KUPAA KUELEKEA MKOA MWINGINE HAPO KESHO
![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/v/t1.0-9/12033156_429722670563300_7208807585825681141_n.jpg?oh=891426c1c8ad6dd55e55b037e87e2702&oe=569E4D50&__gda__=1449263674_d94b55826f4d5259c6d30eccfe29cd12)
![](https://fbcdn-sphotos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/v/t1.0-9/12027810_429723167229917_1278883024286466794_n.jpg?oh=77042dcafec9d51718c34589c3a5ffa1&oe=568F7D58&__gda__=1452718289_9b362394411a265812751caf6b60767b)
![](https://scontent-cdg2-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/12072677_429723100563257_2082979507559632649_n.jpg?oh=836daf28b2a5f851d1bf3dfbe621866b&oe=568E0FCC)
![](https://scontent-cdg2-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/l/t1.0-9/11026240_429723130563254_3328235004459415789_n.jpg?oh=180ef91a668fe27dfd8828664499f313&oe=56A27E3D)
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao
Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.
Na Hillary Shoo, MKALAMA.
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.
Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...