Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arusha yaongoza kumiliki bastola

Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wema: Kumiliki au kutomiliki bastola ni siri yangu

WEMA-1NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amedai kwamba itabaki kuwa siri yake kama ni kweli anamiliki bastola ama la kwa kuwa si sifa kutangaza umiliki wa silaha.
“Hii ni siri yangu kama namiliki bastola au la, lakini mimi sioni ajabu kumiliki bastola, mtu kama mimi mwenye maadui wengi inasaidia katika ulinzi wa maisha yangu,” alieleza Wema.
Wema aliendelea kuwataka wanaojiuliza kama anamiliki bastola ama la waendelee na mambo yao mengine kwa kuwa hawatajua jambo hilo ambalo ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane

Hofu imewakumba waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, Kisarawe mkoani Pwani katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane.

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAONGOZA UWENYEKITI WA MTAA MKOA WA ARUSHA

Na Woinde Shizza,Arusha
Chama cha mapinduzi kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa uwenyekiti wa mitaa katika mitaa yote iliopo ndani ya mkoa wa Arusha baada ya kuvishinda vyama vingine vya upinzani .
Akitangaza  matokeo ya uwenyeviti wa mitaa Mkurugenzi wa jiji la Arusha Iddi Juma alisema kuwa mpaka sasa uchaguzi wa uwenyekiti umekamilika katika mitaa yote na vituo vyote isipokuwa kituo kimoja ambacho uchaguzi wake utarudiwa siku ya kesho.
Alisema kuwa   katika uchaguzi huu jumla ya wananchi ...

 

9 years ago

Michuzi

ARUSHA YAONGOZA MICHUANO YA WAZI TENISI KWA VIJANA.

 Na Woinde Shizza,ArushaJiji la Arusha limeendelea kuwa kinara katika mchezo wa tenisi baada ya wachezaji wake kuibuka kidedea kwa kutwaa ushindi katika umri tofauti tofauti ,mashindano yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Arusha Tenisi gymkhana klabu.
Mashindano hayo yalidhaminiwa na Jubilee tyres ikiwa ni mwaka wa tatu sasa, yalishirikisha jumla ya wachezaji 90 ambao 28 kati yao ni wasichana kutoka Dar es salaam gymkhana klabu,Kijitonyama tenisi klabu kutoka Dar es...

 

10 years ago

GPL

BASTOLA TISHIO DAR!

Stori:Waandishi wetu
IKIWA  imebakia siku moja kabla ya mwaka 2014 kumalizika, jiji la Dar es Salaam limejikuta likigubikwa na mauaji ya mara kwa mara, hasa ya kutumia silaha baada ya kubainika kuzagaa kwa bastola zilizo mikononi mwa watu waovu. Madaraka. Silaha hizo sasa zimekuwa kama simu za mikononi ambazo karibu kila mtu jijini Dar es Salaam anayo na hivyo kuwapa hofu kubwa wananchi  ambao hawajui lini na wapi...

 

10 years ago

Vijimambo

Bastola ya Gwajima utata.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimjulia hali Askofu Josephat Gwajima, wa Kanisa la Ufufuo na Uzima aliyelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam kwa matibabu. PICHA: Tryphone Mweji
Mwenyekiti wa taifa wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, akimjulia hali Askofu Gwajima leo Jumatatu Machi 30, 2015
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akimjulia hali Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aliyelazwa Hospitali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyekutwa na bastola kanisani aachiwa

>Mkazi wa Kijitonyama, Dar es Salaam, Joseph Mumbi ambaye alikamatwa na polisi Kisarawe akishukiwa kutaka kufanya uhalifu wa kutumia bastola siku ya Ibada ya Ijumaa Kuu ilipokuwa ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, ameachiwa jana kwa dhamana.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wanasa bastola nyumba ya wageni

JESHI la Polisi wilayani Igunga mkoani Tabora limefanikiwa kukamata bastola katika nyumba ya kulala wageni ambayo inadhaniwa imesahaulika na majambazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wachunguza bastola ya msafara wa Chenge

Polisi mkoani hapa inafanya uchunguzi wa uhalali wa umiliki wa silaha iliyotumiwa na mmoja wa makada wa CCM, Ahmed Ismail katika vurugu zilizotokea baina ya wafuasi wa Chadema na msafara wa Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani