Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASTOLA TISHIO DAR!

Stori:Waandishi wetu
IKIWA  imebakia siku moja kabla ya mwaka 2014 kumalizika, jiji la Dar es Salaam limejikuta likigubikwa na mauaji ya mara kwa mara, hasa ya kutumia silaha baada ya kubainika kuzagaa kwa bastola zilizo mikononi mwa watu waovu. Madaraka. Silaha hizo sasa zimekuwa kama simu za mikononi ambazo karibu kila mtu jijini Dar es Salaam anayo na hivyo kuwapa hofu kubwa wananchi  ambao hawajui lini na wapi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane

Hofu imewakumba waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, Kisarawe mkoani Pwani katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane.

 

9 years ago

StarTV

Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.

Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.

Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Bastola ya Gwajima utata.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimjulia hali Askofu Josephat Gwajima, wa Kanisa la Ufufuo na Uzima aliyelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam kwa matibabu. PICHA: Tryphone Mweji
Mwenyekiti wa taifa wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, akimjulia hali Askofu Gwajima leo Jumatatu Machi 30, 2015
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akimjulia hali Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aliyelazwa Hospitali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyekutwa na bastola kanisani aachiwa

>Mkazi wa Kijitonyama, Dar es Salaam, Joseph Mumbi ambaye alikamatwa na polisi Kisarawe akishukiwa kutaka kufanya uhalifu wa kutumia bastola siku ya Ibada ya Ijumaa Kuu ilipokuwa ikiendelea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, ameachiwa jana kwa dhamana.

 

9 years ago

Mwananchi

Arusha yaongoza kumiliki bastola

Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola.

 

10 years ago

GPL

BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI

Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka kujawa na hofu.Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi iliyopita katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa Nashindwa wa mwanamuziki Christian Bella...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wanasa bastola nyumba ya wageni

JESHI la Polisi wilayani Igunga mkoani Tabora limefanikiwa kukamata bastola katika nyumba ya kulala wageni ambayo inadhaniwa imesahaulika na majambazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wachunguza bastola ya msafara wa Chenge

Polisi mkoani hapa inafanya uchunguzi wa uhalali wa umiliki wa silaha iliyotumiwa na mmoja wa makada wa CCM, Ahmed Ismail katika vurugu zilizotokea baina ya wafuasi wa Chadema na msafara wa Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima: Niliagiza bastola hospitali kujilinda

>Utata umeibuka kuhusu bastola waliyodaiwa kukamatwa nayo wafuasi wa Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima baada ya kiongozi huyo kusema anaimiliki kihalali kinyume na maelezo ya polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani