Polisi wanasa bastola nyumba ya wageni
JESHI la Polisi wilayani Igunga mkoani Tabora limefanikiwa kukamata bastola katika nyumba ya kulala wageni ambayo inadhaniwa imesahaulika na majambazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AMMV7b4zWQM/UvyKszgDscI/AAAAAAAFMwM/-D0rJf9WnKA/s72-c/d1.jpg)
KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA DAVID MISIME - SACP AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA KULALA WAGENI MKOANI DODOMA
Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME (SACP) amewataka wamiliki wa Hotel na Nyumba za kulala wageni (Guest House) kuhakikisha kwamba wageni wanaotarajia kuingia mkoani humo ambao ni wajumbe wa bunge la Katiba linalotarajia kuanza tarehe 18/02/2014 wanakuwa salama katika kipindi hiki.
Amesema hayo katika ukumbi wa Dodoma Hotel alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara ambao ni wamiliki wa Hotel...
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane
Hofu imewakumba waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, Kisarawe mkoani Pwani katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane.
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Polisi wanasa vilipuzi Uganda
Polisi nchini Uganda wamenasa vilipuzi na washukiwa 19 kufuatia jaribio la shambulizi la kigaidi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuqO2N5TT*0n2HE4NmxJtn09zI2UhugI3MfxKtDQ4jIPZHfX01EaEyQsRqR1G508oAqzLBevBRIP4*MJ4QaZoKX9/polisi.jpg)
POLISI WANASA MILIPUKO UGANDA
POLISI nchini Uganda wamekamata kiasi kikubwa cha milipuko walipokuwa wakifanya operesheni ya kutibua jaribio la shambulizi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab. Hadi sasa, watu 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi na wanahojiwa kuhusiana na nia yao kutekeleza vitendo vya kigaidi, kulingana na msemaji wa polisi. Wiki iliyopita, ubalozi ya Marekani mjini Kampala ulionya kuwa kulikuwa na uwezekano wa shambulizi la kulipiza kisasi...
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Polisi wachunguza bastola ya msafara wa Chenge
Polisi mkoani hapa inafanya uchunguzi wa uhalali wa umiliki wa silaha iliyotumiwa na mmoja wa makada wa CCM, Ahmed Ismail katika vurugu zilizotokea baina ya wafuasi wa Chadema na msafara wa Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Polisi wanasa kilo 2 za Heroin Kenya
Watu watano wamekamatwa baada ya kupatikana na kilo mbili za mihadarati aina ya heroin, huku raia mmoja wa Uingereza akisakawa Kenya
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Polisi wanasa Sh2 bil bandia
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata noti bandia zenye thamani ya Dola 164 milioni za Marekani, sawa na takriban Sh2 bilioni.
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Polisi wanasa sehena ya Silaha Kenya
Maafisa wa Ulinzi wa Kenya wamenasa shehena ya silaha kufuatia operesheni dhidi ya wapiganaji wa Al Shabaab Kaskazini mwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Polisi wanasa silaha zingine Mombasa
Polisi mjini Mombasa Pwani ya Kenya wanasema wamepata silaha nyingine zaidi ikiwemo mabomu katika msikiti wa tatu ambao ulifanyiwa msako
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania