POLISI WANASA MILIPUKO UGANDA
![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuqO2N5TT*0n2HE4NmxJtn09zI2UhugI3MfxKtDQ4jIPZHfX01EaEyQsRqR1G508oAqzLBevBRIP4*MJ4QaZoKX9/polisi.jpg)
POLISI nchini Uganda wamekamata kiasi kikubwa cha milipuko walipokuwa wakifanya operesheni ya kutibua jaribio la shambulizi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab. Hadi sasa, watu 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi na wanahojiwa kuhusiana na nia yao kutekeleza vitendo vya kigaidi, kulingana na msemaji wa polisi. Wiki iliyopita, ubalozi ya Marekani mjini Kampala ulionya kuwa kulikuwa na uwezekano wa shambulizi la kulipiza kisasi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Polisi wanasa vifaa vya milipuko
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Polisi wanasa vilipuzi Uganda
11 years ago
Habarileo14 Dec
Polisi wanasa bastola nyumba ya wageni
JESHI la Polisi wilayani Igunga mkoani Tabora limefanikiwa kukamata bastola katika nyumba ya kulala wageni ambayo inadhaniwa imesahaulika na majambazi.
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Polisi wanasa silaha zingine Mombasa
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Polisi wanasa ‘dada poa’ 15 Dom
JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata wanawake 15 wanaodaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao ‘dada poa’ kutoka mikoa mbalimbali nchini. Wanawake hao wamekamatwa wakati wa msako unaoendelea kwenye...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Polisi wanasa kilo 2 za Heroin Kenya
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Polisi wanasa Sh2 bil bandia
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Polisi wanasa sehena ya Silaha Kenya
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Polisi wanasa magunia 20 ya bangi Longido