Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wanasa magunia 20 ya bangi Longido

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na askari wa Kampuni ya Jumuiya ya Jamii wamefanikiwa kukamata magunia 20 ya dawa za kulevya aina ya Bangi yaliyotelekezwa kwenye Kijiji cha Olteres wilayani Longido.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

POLISI MKOANI IRINGA WAKAMATA MAGUNIA MATATU YA BANGI

Polisi mkoani Iringa wamefanya msako kali kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na uaslama na kufanyikwa kukamata magunia matatu ya bangi, CD za mafunzo ya jihadi za kialshaababu pamoja na nguzo 35 za umeme mali ya shirika la umeme Tanesco.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Ramadhani Mungi alisema polisi walifanya opresheni kusaka mambo yanayohusu makosa ya jinai na kufanyikwa kukamata maguni ya bangi pamoja na kukamatwa watuhumiwa sugu...

 

10 years ago

Michuzi

WAWILI WAKUTWA NA MAGUNIA 12 YA BANGI

Na John Gagarini, Kibaha 
 JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wawili wakazi wa mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kupatikana na magunia 12 ya Bangi. 
 Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha kamanda wa Polisi mkoani humo Ulrich Matei alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na askari waliokuwa doria. 
 Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea huko Desemba 2 mwaka huu majira ya 4.40 usiku kwenye pori la Vikawe kata Pangani wilaya ya Kibaha. 
 Aliwataja...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakamata magunia 267 ya bangi Arusha

Polisi, kwa kushirikiana na maofisa wa Tume ya Kupambana na Dawa za Kulevya, imekamata magunia 267 ya bangi katika vijiji vya Olkokola na Kisimiri Juu wilayani Arumeru.

 

10 years ago

GPL

POLISI WANASA MILIPUKO UGANDA

POLISI nchini Uganda wamekamata kiasi kikubwa cha milipuko walipokuwa wakifanya operesheni ya kutibua jaribio la shambulizi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab. Hadi sasa, watu 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi na wanahojiwa kuhusiana na nia yao kutekeleza vitendo vya kigaidi, kulingana na msemaji wa polisi. Wiki iliyopita, ubalozi ya Marekani mjini Kampala ulionya kuwa kulikuwa na uwezekano wa shambulizi la kulipiza kisasi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wanasa vilipuzi Uganda

Polisi nchini Uganda wamenasa vilipuzi na washukiwa 19 kufuatia jaribio la shambulizi la kigaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wanasa vifaa vya milipuko

>Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kukamatwa na waumini kwenye nyumba za ibada wakiwa na zana za kutengenezea milipuko pamoja na silaha za jadi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wanasa kilo 2 za Heroin Kenya

Watu watano wamekamatwa baada ya kupatikana na kilo mbili za mihadarati aina ya heroin, huku raia mmoja wa Uingereza akisakawa Kenya

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wanasa Sh2 bil bandia

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata noti bandia zenye thamani ya Dola 164 milioni za Marekani, sawa na takriban Sh2 bilioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wanasa silaha zingine Mombasa

Polisi mjini Mombasa Pwani ya Kenya wanasema wamepata silaha nyingine zaidi ikiwemo mabomu katika msikiti wa tatu ambao ulifanyiwa msako

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani