POLISI MKOANI IRINGA WAKAMATA MAGUNIA MATATU YA BANGI
Polisi mkoani Iringa wamefanya msako kali kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na uaslama na kufanyikwa kukamata magunia matatu ya bangi, CD za mafunzo ya jihadi za kialshaababu pamoja na nguzo 35 za umeme mali ya shirika la umeme Tanesco.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Ramadhani Mungi alisema polisi walifanya opresheni kusaka mambo yanayohusu makosa ya jinai na kufanyikwa kukamata maguni ya bangi pamoja na kukamatwa watuhumiwa sugu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Wakamata magunia 267 ya bangi Arusha
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Polisi wanasa magunia 20 ya bangi Longido
10 years ago
Michuzi03 Dec
WAWILI WAKUTWA NA MAGUNIA 12 YA BANGI
JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wawili wakazi wa mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kupatikana na magunia 12 ya Bangi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha kamanda wa Polisi mkoani humo Ulrich Matei alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na askari waliokuwa doria.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea huko Desemba 2 mwaka huu majira ya 4.40 usiku kwenye pori la Vikawe kata Pangani wilaya ya Kibaha.
Aliwataja...
11 years ago
Michuzi12 Mar
polisi mkoani katavi wakamata mtu akiwa na meno ya tembo na gobole
11 years ago
MichuziPolisi Mkoani Manyara yakamata misokoto 6,000 ya bangi
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LAKAMATA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI, WAKAMATA WAHARIFU SUGU
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama ali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu pamoja na ajali za barabarani.
KUPATIKANA NA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI. Jeshi la...
11 years ago
Michuzi03 Jun
Polisi Feki watiwa mbaroni mkoani Iringa
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro ,kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale.
Na Francis Godwin,Iringa
MATAPELI washindwa kubaki njia kuu sasa waanza michepuko mipya ni baada ya jeshi la polisi mkoa wa...
11 years ago
GPLMSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA