Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI

Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka kujawa na hofu.Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi iliyopita katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa Nashindwa wa mwanamuziki Christian Bella...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAY ‘AFUNGUKIA’ BASTOLA YAKE

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka na kuweka wazi kuwa kamwe hajawahi kuionesha bastola yake kwa makusudi au kutafuta sifa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HAPGAs

 

9 years ago

GPL

RAY AANGUA UKUMBINI!

WAANDISHI WETU BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo...

 

10 years ago

GPL

RAY CHUNGA SANA HIYO BASTOLA YAKO BROO!

WAKATI mwingine kazi yetu hii ni ya lawama, kwa sababu kuna wakati unalazimika kuandika kitu cha kweli kuhusu rafiki, ndugu au jamaa yako, lakini ukijua fika hatakipenda na huenda, ikaweza hata kuharibu uhusiano wenu. Vicent Kigosi maarufu kama Ray, ni mmoja wa watu ambao nimewahi kuwa naye karibu kikazi, kiasi kwamba tulijenga aina flani ya ushkaji, ingawa ukaribu wetu kwa miaka ya karibuni umedorora kutokana na wakati, kwani...

 

10 years ago

GPL

RAY C AHAHA KUMNASA JK UKUMBINI!

Imelda Mtema ZAIDI ya dakika 57, zilitosha kumtoa ‘jasho jembamba’ msanii mwenye nyonga laini na kiuno bila mifupa, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuhaha ili afanikiwe kumfikia kwa ukaribu Rais Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HALRex

 

9 years ago

Bongo Movies

Ray Aangua Kilio Ukumbini!

BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo washiriki 10 ndiyo walikuwa wakiwania kitita cha shilingi milioni 50.

Mara baada ya mshindi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray na Davina Kidogo Wazichape Ukumbini!

Mastaa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Halima Yahaya ‘Davina’ nusura wazichape kavukavu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar baada ya Ray kudaiwa kumshika mwenzake huyo sehemu nyeti, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili.

Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti la Risasi, ambacho kilikuwa shuhuda wa tukio hilo, Davina alikuwa amekaa na wasanii wengine pamoja na Mlezi wa Bongo Movies, mama Loraa wakipata vinywaji ndipo Ray alipofika na kuharibu shughuli.


“Wakati Davina...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua hofu Nigeria

Ugonjwa wa Ebola wazua hofu nchini Nigeria huku serikali ikipanga mikakati ya kukabiliana na homa hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu ya shambulizi yazua mauti Kenya

Mwanafunzi mmoja amefariki na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa baada ya kukanyagana katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya.

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Malawi yazua hofu Ileje

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani