Ndege ya Malawi yazua hofu Ileje
MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM11 Jun
NDEGE YA MALAWI YAZUA HOFU MPAKANI MWA TANZANIA
“Kwa kuzingatia uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Malawi, naomba mwongozo wako maana ndege za nchi hii sasa zinaingia hadi Tanzania na kuwatia hofu wananchi,” alisema Mbunge wa Ileje,Aliko Kibona.
Kauli ya mbunge huyo imekuja wakati msimamo rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika kuhusu mzozo uliopo kati ya nchi hiyo na Tanzania kuhusu Ziwa Nyasa ukiwekwa bayana hatakuwa na mjadala kuhusu mpaka wa nchi hizo akidai kuwa Ziwa Nyasa ni la Malawi pekee.Kibona alisema kwa takriban wiki mbili...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Ndege zinazoranda Ileje ni za utafiti - Mwakyembe
SERIKALI imejiridhisha kuwa ndege zinazoonekana katika anga mpakani mwa Tanzania na Malawi, kwenye maeneo ya wilaya za Ileje na Kyela hazina madhara ni maalumu kwa utafiti.
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Ebola yazua hofu Nigeria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo447tcpxDcPbUNWmUCKEcK10QYbRnkqCnmqX2LaZc*hs9aHERT38D*UDPrKwwqQwi2ijR6-YCz5gheyu8uSPsQY/yuyuyu6767.gif?width=650)
BASTOLA YA RAY YAZUA HOFU UKUMBINI
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Hofu ya shambulizi yazua mauti Kenya
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Mafuriko yazua Hofu ya njaa Sierra Leone
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Makabiliano kati ya Iran na Marekani yazua hofu ya kuzuka kwa vita Ghuba
11 years ago
Habarileo19 Dec
Ndege ya Ethiopia yazua tafrani Arusha
NDEGE ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege nyingine ya TFC kukwama kwenye njia ya kurukia.
11 years ago
BBCSwahili16 Mar
Tahadhari katika uwanja wa ndege Malawi