Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tahadhari katika uwanja wa ndege Malawi

Mamia ya wasafiri wamekwama katika uwanja wa kimataifa wa ndege mjini Blantyre, Malawi baada ya uwanja huo kusemekana kutokuwa salama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)

Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, karatasi inayotumika kuonyesha aina za mizigo inayopakiwa kwenye ndege wakati wataalam hao walipotembelea Kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, ngazi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taliban waua 46 katika uwanja wa ndege

Watu 46 wakiwemo wanawake na watoto wameuwawa katika shambulio la Taliban, katika uwanja wa ndege wa Kandahar Afghanistan.

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taarifa kuhusu tatizo la umeme katika uwanja wa ndege wa Mwanza

Mwanza-aa

Kufuatia tatizo la kiufundi la umeme katika uwanja wa Ndege wa Mwanza ambalo lilisababisha ndege za kampuni ya Fastjet kukatisha safari zake zote za usiku kuepuka kuhatarisha maisha ya abiria na wafanyakazi, tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa ushirikiano wao na uvumilivu waliotuonyesha na tunawaomba wawasiliane nasi ili kupata maelezo zaidi juu ya safari zao.

Wakati mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania ikiendelea kufanya juhudi za kutatua tatizo hili,  safari zetu za usiku za...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI NA UTALII WA ZANZIBAR AFANYA KATIKA UWANJA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID KARUME

Maryam Himid/Saada Saleh-ZJMMC
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Zanzibar,Mh. Saidi Ali Mbarouk amezitaka Taasisi zinazosimamia kupokea Watalii Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Amani Abeid Karume kujenga mashirikiano ili kuondosha usumbufu kwa wageni wanaoingia na kuotoka nchini. Ameyasema hayo alipofanya ziara Uwanjani hapo kwa lengo la kuangalia hali halisi ya Wageni wanaoingia na kutoka nchini.
Waziri Mbarouk amesema suala la Mashirikiano kwa wageni ni jambo muhimu...

 

11 years ago

Michuzi

MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR

Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakati wa uhai wake. Maafisa wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi vya Zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana. Wanajeshi wa JWTZ hapa Zanzibar wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,kutoka katika Ndege ya jeshi hilo iliyotua leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE

Watendaji wa mashirika ya ndege nchini wameiomba Serikali kupanua Barabara ya Nyerere ili kuwawezesha abiria wanaosafiri kwa ndege kuwahi usafiri kufuatia ongezeko lao kubwa na la ndege pia linalotarajiwa  kufuatia kuwepo kwa jengo jipya la abiria (TB III) linalotarajiwa kukamilika mwaka 2016.
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa  ni moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani