Taarifa kuhusu tatizo la umeme katika uwanja wa ndege wa Mwanza
Kufuatia tatizo la kiufundi la umeme katika uwanja wa Ndege wa Mwanza ambalo lilisababisha ndege za kampuni ya Fastjet kukatisha safari zake zote za usiku kuepuka kuhatarisha maisha ya abiria na wafanyakazi, tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa ushirikiano wao na uvumilivu waliotuonyesha na tunawaomba wawasiliane nasi ili kupata maelezo zaidi juu ya safari zao.
Wakati mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania ikiendelea kufanya juhudi za kutatua tatizo hili, safari zetu za usiku za...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziHitilafu ya umeme katika uwanja wa mwanza imetokana na matatizo ya generator ya dhalula - TAA
Na Lorietha Laurence- Maelezo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Ndege nchini (TAA) Bw Suleiman Suleiman ametoa ufafanuzi kuhusu hitilafu ya umeme iliyotokea katika uwanja wa ndege wa Mwanza kuwa imetokana na marekebisho ya kangavuke (generator) ya dhalula katika uwanja huo.
Bw. Suleiman ameeleza hayo leo jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii na kuongeza kuwa kila kiwanja cha ndege nchini kina generator ya dhalula.
“Viwanja vyote vya ndege nchini vina...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Ndege nchini (TAA) Bw Suleiman Suleiman ametoa ufafanuzi kuhusu hitilafu ya umeme iliyotokea katika uwanja wa ndege wa Mwanza kuwa imetokana na marekebisho ya kangavuke (generator) ya dhalula katika uwanja huo.
Bw. Suleiman ameeleza hayo leo jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii na kuongeza kuwa kila kiwanja cha ndege nchini kina generator ya dhalula.
“Viwanja vyote vya ndege nchini vina...
5 years ago
Michuzi10 years ago
GPLUWANJA WA NDEGE MWANZA SIKIO LA KUFA
Stori: Mwandishi wetu
Katika gazeti hili toleo namba 1151 la Septemba 27-30, 2014 kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho; ‘UGAIDI BONGO’ AL-SHABAAB WATAKAVYOTUMIA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA KUTEKA NDEGE. Uwanja wa ndege wa Mwanza. Lengo la habari hiyo lilikuwa ni kuonyesha hatari iliyopo kwa kutoa mwanya kwa magaidi kufanya uhalifu kupitia mlango ambao hauna umuhimu. Hata hivyo, licha ya habari hiyo...
11 years ago
Mwananchi28 May
ATCL, Uwanja wa Ndege Mwanza vilivyotishia bajeti ya uchukuzi
Matatizo yanayolikabili Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na kususuasua kwa ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza, ni miongoni mwa mambo yaliyotishia kukwamisha makadirio ya matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, bungeni juzi.
11 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUHUSU ZOEZI LA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI LILILOFANYWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA UWANJA MPYA WA TAIFA TAREHE 13 JUNI, 2014
Siku ya zoezi la usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji lililofanywa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe Ijumaa Juni 13, 2014 katika Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
GPLUGAIDI BONGO: AL-SHABAAB WATAKAVYOTUMIA UWANJA WA MWANZA KUTEKA NDEGE
Stori: Mwandishi Wetu
HATARI! Uwanja wa Ndege wa Mwanza si salama na unaweza kutumiwa na magaidi kama Al-Shabaab kuteka ndege na kuua watu wakati wowote, Risasi Jumamosi lina ushahidi mzito. Jengo la Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Upelelezi wa kina uliofanywa na gazeti hili bila kujulikana katika operesheni maalum iliyopewa jina la ‘HAKIKISHA NCHI SALAMA’,… ...
10 years ago
MichuziWATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)
Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, karatasi inayotumika kuonyesha aina za mizigo inayopakiwa kwenye ndege wakati wataalam hao walipotembelea Kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, ngazi...
11 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania