UGAIDI BONGO: AL-SHABAAB WATAKAVYOTUMIA UWANJA WA MWANZA KUTEKA NDEGE

Stori: Mwandishi Wetu HATARI! Uwanja wa Ndege wa Mwanza si salama na unaweza kutumiwa na magaidi kama Al-Shabaab kuteka ndege na kuua watu wakati wowote, Risasi Jumamosi lina ushahidi mzito. Jengo la Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Upelelezi wa kina uliofanywa na gazeti hili bila kujulikana katika operesheni maalum iliyopewa jina la ‘HAKIKISHA NCHI SALAMA’,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UWANJA WA NDEGE MWANZA SIKIO LA KUFA
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Al Shabaab wadai kuteka askari wa Uganda
11 years ago
Mwananchi28 May
ATCL, Uwanja wa Ndege Mwanza vilivyotishia bajeti ya uchukuzi
10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Taarifa kuhusu tatizo la umeme katika uwanja wa ndege wa Mwanza
Kufuatia tatizo la kiufundi la umeme katika uwanja wa Ndege wa Mwanza ambalo lilisababisha ndege za kampuni ya Fastjet kukatisha safari zake zote za usiku kuepuka kuhatarisha maisha ya abiria na wafanyakazi, tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa ushirikiano wao na uvumilivu waliotuonyesha na tunawaomba wawasiliane nasi ili kupata maelezo zaidi juu ya safari zao.
Wakati mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania ikiendelea kufanya juhudi za kutatua tatizo hili, safari zetu za usiku za...
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
9 years ago
Michuzi
WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa ni moja ya...
5 years ago
Michuzi
UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR
Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.
Makamu wa Pili wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA (KIA)
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO