WAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA (KIA)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipakia mizigo kwenye ndege mara baada ya kuongoza mapokezi ya ndege ya mizigo aina ya 787-Dreamliner mali ya shirika la ndege la Ethiopia katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) Leo tarehe 17 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Mhe Anna Mghwira na Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA Dkt Jacqueline Mkindi wakijadili jambo wakati wakikagua uwanjani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipakia mizigo kwenye ndege mara baada ya kuongoza mapokezi ya ndege ya mizigo aina ya 787-Dreamliner mali ya shirika la ndege la Ethiopia katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) tarehe 17 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Mhe Anna Mghwira na Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA Dkt Jacqueline Mkindi wakijadili jambo wakati wakikagua uwanjani hapo...
5 years ago
MichuziNDITIYE AZINDUA SAFARI ZA NDEGE ZA MIZIGO UWANJA WA KIA
KADCO yajenga chumba cha barafu chenye uwezo wa kubeba tani 110
Na Prisca Ulomi, WUUM, KIA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua safari za ndege za mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara, wakulima wa mazao, matunda na mboga mboga wa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Manyara na mikoa ya jirani kutumia usafiri huo kusafirisha mizigo yao kwenda nje ya nchi ya Tanzania
Nditiye amesema kuwa uzinduzi wa...
10 years ago
MichuziWATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)
9 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
5 years ago
Michuzi9 years ago
Global Publishers23 Dec
KADCO yaokoa zaidi ya bilioni 2 Uwanja wa Ndege wa KIA ndani ya wiki 1
Na Dixon...
9 years ago
MichuziKADCO YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 2 UWANJA WA NDEGE WA KIA NDANI YA WIKI MOJA.
10 years ago
MichuziWAREMBO MISS TANZANIA WASHUHUDIA UPIMAJI WAGONJWA WA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA KIA