Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya Ethiopia yazua tafrani Arusha

Ndege ya Shirika la Ethiopian Airline aina ya Boeing 767 ikiwa nje ya njia ya kukimbilia baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa Arusha jana. (Picha na Mtandao wa JamiiForums.com).NDEGE ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege nyingine ya TFC kukwama kwenye njia ya kurukia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAITI YA MCHUNGAJI YAZUA TAFRANI

Na Haruni Sanchawa/Uwazi
MAITI ya Mchungaji James Regnald Mhando  aliyefariki  Februari 18, mwaka huu imezua tafrani nzito kwa ndugu na jamaa baada ya kujulikana kuwa alikuwa na wake wawili ambapo mke mmoja alitaka mwili uagwe hospitali na upande wa pili ukitaka ukaagwe kwa mama yake marehemu. Mchungaji James Regnald Mhando enzi za uhai wake. Katika msiba huo ilibainika kuwa, mchungaji huyo (kanisa lake tunalihifadhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

11 years ago

GPL

FAMILIA YA MWINYI YAZUA TAFRANI

Stori: SHAKOOR JONGO
FAMILIA ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na anayedai ni mmiliki wa kurithi, Edward Francis Bogwe. Hii ndo nyumba yenyewe juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na anayedai ni mmiliki wa kurithi,...

 

11 years ago

GPL

KAULI YA DC KUHUSU KONDOMU YAZUA TAFRANI

Na Dustan Shekidele, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT),  wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka. Wakizungumza na wandishi wa habari mjini hapa,  wanachama hao ambao hawakupenda...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City

 Ofa ya punguzo la asilimia 50 kutoka duka la bidhaa la Shoprite, lililopo Mlimani City, jana ilizua taharuki baada ya kufurika umati mkubwa wa watu wakigombea kuingia ndani ya duka hilo bila kufuata utaratibu wa kupanga foleni.

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Malawi yazua hofu Ileje

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara.

 

11 years ago

CloudsFM

NDEGE YA MALAWI YAZUA HOFU MPAKANI MWA TANZANIA

“Kwa kuzingatia uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Malawi, naomba mwongozo wako maana ndege za nchi hii sasa zinaingia hadi Tanzania na kuwatia hofu wananchi,” alisema Mbunge wa Ileje,Aliko Kibona.Kauli ya mbunge huyo imekuja wakati msimamo rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika kuhusu mzozo uliopo kati ya nchi hiyo na Tanzania kuhusu Ziwa Nyasa ukiwekwa bayana hatakuwa na mjadala kuhusu mpaka wa nchi hizo akidai kuwa Ziwa Nyasa ni la Malawi pekee.Kibona alisema kwa takriban wiki mbili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Ethiopia ''Yatekwa Nyara''

Ndege ya Ethiopia imelazimishwa kutua Geneva

 

11 years ago

BBCSwahili

Rubani aliteka ndege ya Ethiopia

Rubani msaidizi ndiye aliyeiteka nyara ndege ya Ethiopia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani