Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAULI YA DC KUHUSU KONDOMU YAZUA TAFRANI

Na Dustan Shekidele, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT),  wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka. Wakizungumza na wandishi wa habari mjini hapa,  wanachama hao ambao hawakupenda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa

Kauli ya Rais Barack Obama ya kuwataka Wakristo kujua kuwa Uislamu si dini pekee inayohusishwa na vurugu na mauaji, imezua kizaazaa duniani na baadhi wameanza kuhoji kama kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Marekani ni Mkristo.

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

11 years ago

GPL

FAMILIA YA MWINYI YAZUA TAFRANI

Stori: SHAKOOR JONGO
FAMILIA ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na anayedai ni mmiliki wa kurithi, Edward Francis Bogwe. Hii ndo nyumba yenyewe juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na anayedai ni mmiliki wa kurithi,...

 

10 years ago

GPL

MAITI YA MCHUNGAJI YAZUA TAFRANI

Na Haruni Sanchawa/Uwazi
MAITI ya Mchungaji James Regnald Mhando  aliyefariki  Februari 18, mwaka huu imezua tafrani nzito kwa ndugu na jamaa baada ya kujulikana kuwa alikuwa na wake wawili ambapo mke mmoja alitaka mwili uagwe hospitali na upande wa pili ukitaka ukaagwe kwa mama yake marehemu. Mchungaji James Regnald Mhando enzi za uhai wake. Katika msiba huo ilibainika kuwa, mchungaji huyo (kanisa lake tunalihifadhi...

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Ethiopia yazua tafrani Arusha

Ndege ya Shirika la Ethiopian Airline aina ya Boeing 767 ikiwa nje ya njia ya kukimbilia baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa Arusha jana. (Picha na Mtandao wa JamiiForums.com).NDEGE ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege nyingine ya TFC kukwama kwenye njia ya kurukia.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City

 Ofa ya punguzo la asilimia 50 kutoka duka la bidhaa la Shoprite, lililopo Mlimani City, jana ilizua taharuki baada ya kufurika umati mkubwa wa watu wakigombea kuingia ndani ya duka hilo bila kufuata utaratibu wa kupanga foleni.

 

9 years ago

Mwananchi

Kauli ya Rais Kikwete yazua sintofahamu kwa wananchi

Kauli ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa jana na kukosea idadi ya wapigakura walioandikishwa kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, imeongeza idadi ya wananchi waliopiga simu kwenye kituo maalumu cha huduma kwa wateja cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi Wizara ya Habari waelezea namna wizara yao inavyoweza kufanikisha Mkakati wa Kitaifa kuhusu matumizi ya Kondomu

PIX1

Afisa Tawala wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Mussa Varisanga akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge.

PIX2

Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge akizungumza na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) wakati...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu katiba TZ

Nchini Tanzania, hivi karibuni kulikuwa na mvutano mkubwa kule Dodoma katika Bunge maalum la Katiba, wakati wa kujadili rasimu ya katiba mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani