Kauli ya Rais Kikwete yazua sintofahamu kwa wananchi
Kauli ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa jana na kukosea idadi ya wapigakura walioandikishwa kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, imeongeza idadi ya wananchi waliopiga simu kwenye kituo maalumu cha huduma kwa wateja cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Amri ya Mahakama yazua sintofahamu bungeni
Miongozo iliyoombwa na wabunge jana ilizua vurumai bungeni kiasi cha kumfanya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kutishia kuliahirisha.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JtAjU20_bas/U9CpM5wiz7I/AAAAAAAF5Xk/yb8PW7LeZrg/s72-c/b1.jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO
![](http://3.bp.blogspot.com/-JtAjU20_bas/U9CpM5wiz7I/AAAAAAAF5Xk/yb8PW7LeZrg/s1600/b1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pT0nzt4LVa8/U9CpOZSJqoI/AAAAAAAF5X4/VUUHTIbsbzQ/s1600/b2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Hotuba ya Rais Kikwete kwa wananchi akikamilisha ziara mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Majumuisho Dodoma Na Hotuba Ya Mwisho Wa Mwezi Agosti, 2014 Dodoma – Final by moblog
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s6iKVKOx-hI/U9Ad0sn9W7I/AAAAAAAF5So/ANKRC4J--po/s72-c/unnamed+(24).jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA MIKOA MIWILI YA PEMBA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini kuendelea kushikamana kwa lengo la kutekeleza maamrisho ya dini yao kama inavyoagiza wakati wote. Balozi Seif alitoa himizo hilo kwa niaba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya futari ya Pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete kwa ajili ya Wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba hapo katika Majengo ya Ikulu ya Mjini Wete, Pemba Balozi Seif alisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwRDIGWEl4gKdgVDDiMfhapgOIQDzeGPz5OM5wprYJ2nonnVtC8JxFGZNwDxjhDyWHjMQkvxNX5LQHOCToZbeOR/dc.jpg)
KAULI YA DC KUHUSU KONDOMU YAZUA TAFRANI
Na Dustan Shekidele, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka. Wakizungumza na wandishi wa habari mjini hapa, wanachama hao ambao hawakupenda...
10 years ago
Vijimambo07 Apr
Wagombea urais CCM wafunguka kauli ya Rais Kikwete
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2677850/highRes/986711/-/maxw/600/-/14hhh15/-/kikwete.jpg)
Dar es Salaam. Siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa nafasi hiyo ni kadhia na kazi ngumu, baadhi ya wanasiasa waliotangaza nia ya kuwania nafasi hiyo wamesema wanafahamu changamoto hizo na kwamba kauli hiyo inazidi kuwapa nguvu na hamasa ya kuendelea na mchakato huo.Wiki iliyopita, Rais Kikwete akiwa Marekani, wakati akihutubia kwenye taasisi...
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa
Kauli ya Rais Barack Obama ya kuwataka Wakristo kujua kuwa Uislamu si dini pekee inayohusishwa na vurugu na mauaji, imezua kizaazaa duniani na baadhi wameanza kuhoji kama kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Marekani ni Mkristo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-si09ivjL9sk/VYnQyc1NHuI/AAAAAAAHjCE/2ZI2LZU-Qfo/s72-c/a21.jpg)
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-si09ivjL9sk/VYnQyc1NHuI/AAAAAAAHjCE/2ZI2LZU-Qfo/s640/a21.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SrPWYX61N-w/VYnQy-A1x5I/AAAAAAAHjCM/CrkHLwM4twU/s640/a24.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania