Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Wizara ya Habari waelezea namna wizara yao inavyoweza kufanikisha Mkakati wa Kitaifa kuhusu matumizi ya Kondomu

PIX1

Afisa Tawala wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Mussa Varisanga akielezea jambo wakati wa kikao cha pamoja na washauri kuhusu masuala ya Kondomu wakati wakijadili Mkatati wa Taifa wa Matumizi ya Kondomu unaoratibiwa na TACAIDS leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge.

PIX2

Mshauri wa Kimataifa kutoka Uganda Bw.Moses Muwonge akizungumza na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) wakati...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WASHEREHEA VEMA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KITAIFA JIJINI DAR

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YAWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUWAKATIA BIMA WAFANYAKAZI WAO

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akijibu swali Bungeni mjini Dodoma.Na Lorietha Laurence-Maelezo Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amewataka wamiliki wa vyombo vya habari kuwakatia wafanyakazi wao bima ili ziweze kuwasaidia wakati wanapopatwa na madhara wakiza kazini.

Akijibu swali la mbunge wa viti maalum Anna Mallac, kuhusu mpango wa Serikali kuwapatia ulinzi waandishi pale wanapokuwa wakifanya kazi katika matukio...

 

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ahimiza watumishi wake kuendelea kuwa wabunifu katika kutekeleza majukumu yao

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha kawaida ambacho ufanyika kila baada ya miezi mitatuKikao hicho kimefanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Magreth Mtaki.Naibu Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi Wizara ya Habari watembelea Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China Upanga jijini Dar es Salaam

PIX4

Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (Mwenye shati la batiki) wakiangalia baadhi ya vitabu katika maktaba ya  Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China kilichopo Upanga jijini Dar es Salaam jana.

PIX5

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakijisajili kwa ajili ya Kozi fupi za Lugha ya Kichina inayotolewa na Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China kilichopo Upanga jijini...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MHE. CECILIA PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16


Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB).
(Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013).
1.0 UtanguliziMheshimiwa Spika,Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika, Napenda kutumia fursa hii, kuwashukuru watanzania wote kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani