Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Wizara ya Habari watembelea Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China Upanga jijini Dar es Salaam

PIX4

Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (Mwenye shati la batiki) wakiangalia baadhi ya vitabu katika maktaba ya  Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China kilichopo Upanga jijini Dar es Salaam jana.

PIX5

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakijisajili kwa ajili ya Kozi fupi za Lugha ya Kichina inayotolewa na Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China kilichopo Upanga jijini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa...

 

10 years ago

GPL

WAGENI KUTOKA NANJING CHINA WATEMBELEA OFISI ZA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel kushoto akizungumza na watu kutoka Jamhuri ya watu wa china(hawapo pichani) walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kulia ni Mkurugenzi msaidizi Sanaa Bibi Leah Kihimbi.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Wageni kutoka Nanjing China watembelea Ofisi za Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kushoto akizungumza na watu kutoka Jamhuri ya watu wa china (hawapo pichani) walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kulia ni Mkurugenzi msaidizi Sanaa Bibi Leah Kihimbi. Mkuu wa masuala ya Utamaduni, Utangazaji, Habari na Uchapishaji kutoka Nanjing China Bw. Yan Yiping...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA USAFI NA WANANCHI WA UPANGA MASHARIKI



Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika koleo akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni kuitikia wito wa
kutikia agizo la Mh. Rais John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania .

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika toroli akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA PSPF WATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Wahariri wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) alipotembelea Makao Makuu ya MCL, Tabata Relini jijini Dar es salaam, kulia ni watendaji wa PSPFMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Bw. Francis Nanai (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, baada ya kikao kazi kati ya Wahariri wa Mwananchi na Watendaji wa PSPF, kushoto ni Bw....

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU

Habari zilizotufikia chumba cha habari  zinasema kwamba watu kadhaa wameuwawa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, baada ya kuvamia kituo kidogo cha Polisi cha Sitakishari, Ukonga jijini Dar es salaam usiku huu.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

Mvuvi Waziri Mfaume ambaye ni mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam alikutwa na mpiga picha leo akishimba shimo kwa ajili ya kuhifadhia uchafu kandokando ya barabara ya Barrack Obama ambayo zamani ilifahamika kwa jina la barabara ya bahari (Ocean Road). Anayeonekana akifagia eneo hilo ni Mama Chiku Hamadi Mkazi wa Mwananyamala. Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi wa mazingira leo katika soko la samaki la Feri ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WATEMBELEA KIJIJI CHA UTALII WA UTAMADUNI AFRIKA KUSINI CHA LESEDI

Mshindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 Gerald Kitabu (The Guardian) akisalimiana na kijana wa Kizulu katika kijiji cha Utamaduni cha Lesedi walipotembelea ili kujifunza utalii wa kiutamaduni nchini Afrika Kusini. Mshindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 Vedasto Msungu (ITV) akisalimiana na kijana wa Kizulu katika kijiji cha Utamaduni cha Lesedi walipotembelea ili kujifunza utalii wa kiutamaduni nchini Afrika Kusini. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 kutoka kulia Gerald...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani