Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City

 Ofa ya punguzo la asilimia 50 kutoka duka la bidhaa la Shoprite, lililopo Mlimani City, jana ilizua taharuki baada ya kufurika umati mkubwa wa watu wakigombea kuingia ndani ya duka hilo bila kufuata utaratibu wa kupanga foleni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Seli imesitishwa baada ya zogo hadi ffu kuitwa shoprite mlimani city

 Hali iko shwari jioni hii katika shopping Mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam baada ya wamiliki wapya wa iliyokuwa Shoprite Stores Nakumatt kuamua kufunga seli iliyozua zogo hata ikabidi leo mchana FFU waitwe kutuliza ghasia. Matangazo yanajieleza nini kitaendelea Jumatatu.

 

11 years ago

GPL

FAMILIA YA MWINYI YAZUA TAFRANI

Stori: SHAKOOR JONGO
FAMILIA ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na anayedai ni mmiliki wa kurithi, Edward Francis Bogwe. Hii ndo nyumba yenyewe juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na anayedai ni mmiliki wa kurithi,...

 

10 years ago

GPL

MAITI YA MCHUNGAJI YAZUA TAFRANI

Na Haruni Sanchawa/Uwazi
MAITI ya Mchungaji James Regnald Mhando  aliyefariki  Februari 18, mwaka huu imezua tafrani nzito kwa ndugu na jamaa baada ya kujulikana kuwa alikuwa na wake wawili ambapo mke mmoja alitaka mwili uagwe hospitali na upande wa pili ukitaka ukaagwe kwa mama yake marehemu. Mchungaji James Regnald Mhando enzi za uhai wake. Katika msiba huo ilibainika kuwa, mchungaji huyo (kanisa lake tunalihifadhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Luku yazua tafrani Mbeya

>Wakazi wa jijini hapa jana walizua tafrani baada ya kufunga ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa muda wakidai kupewa majibu kuhusu tatizo la upatikanaji wa umeme lililodumu kwa zaidi ya siku tano

 

11 years ago

GPL

KAULI YA DC KUHUSU KONDOMU YAZUA TAFRANI

Na Dustan Shekidele, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT),  wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka. Wakizungumza na wandishi wa habari mjini hapa,  wanachama hao ambao hawakupenda...

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Ethiopia yazua tafrani Arusha

Ndege ya Shirika la Ethiopian Airline aina ya Boeing 767 ikiwa nje ya njia ya kukimbilia baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa Arusha jana. (Picha na Mtandao wa JamiiForums.com).NDEGE ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege nyingine ya TFC kukwama kwenye njia ya kurukia.

 

10 years ago

GPL

Ofa! Ofa! Ofa! Pendeza na James Kosmetic

OFA! OFA! OFA! OFA! OFA! SASA NI SAWA NA BURE PENDEZA NA JAMES KOSMETIC CO.LTD BILA MADHARA KWA AFYA YAKO KWA BIDHAA BORA ZA MIMEA NA MATUNDA KUTOKA VIWANDANI TUNAZO ZA= 1) kutoa chunusi na madoa = 50,000 2)kushep hips na figure kwa mafuta (a)= 70,000 (b) vidonge 170,000 C) Dawa ya maji =80,000 3) kuongeza unene na uzito wa mwili = 80,000 4) kupunguza unene na uzito wa mwili = a) kwa vidonge 90,000 b) sliming tea 80,000
5)...

 

10 years ago

GPL

OFA! OFA! OFA KUTOKA JAMES COSMETICS

OFA! OFA! OFA JAMES COSMETIC CO.LTD inawatangazia ofa ya punguzo la bei kwa mwezi huu mtukufu kwa kila bidhaa
pia usisahau hizi ni bidhaa za mimea na matunda kutoka viwandani na zimedhibitishwa hazina kemikal zenye madhara 1) kutoa chunusi na madoa = 50,000

2)kushep hips na figure = 60,000

3) kuongeza unene na uzito wa mwili = 60,000

4) kupunguza unene na uzito wa mwili = 70,000
5) kuondoa kitambi na nyama za...

 

10 years ago

TheCitizen

Mlimani City mall still insecure

>As patrons at Dar es Salaam’s Mlimani City shopping complex come to terms with the recently introduced parking charges, insecurity in and around the place remains a concern.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani