Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seli imesitishwa baada ya zogo hadi ffu kuitwa shoprite mlimani city

 Hali iko shwari jioni hii katika shopping Mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam baada ya wamiliki wapya wa iliyokuwa Shoprite Stores Nakumatt kuamua kufunga seli iliyozua zogo hata ikabidi leo mchana FFU waitwe kutuliza ghasia. Matangazo yanajieleza nini kitaendelea Jumatatu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City

 Ofa ya punguzo la asilimia 50 kutoka duka la bidhaa la Shoprite, lililopo Mlimani City, jana ilizua taharuki baada ya kufurika umati mkubwa wa watu wakigombea kuingia ndani ya duka hilo bila kufuata utaratibu wa kupanga foleni.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: PATASHIKA MLIMANI CITY LEO BAADA YA MALL HIYO KUUZWA KWA NAKUMAT...

Makundi makubwa ya watu  yanaonekana yametapakaa katika shopping mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam leo baada ya mall hiyo kuuzwa kwa mmiliki mwingine inayesemekana kuwa ni NAKUMAT. Hapo ni wafanyakazi wa Mlimani City wakisubiri hatma yao. Habari zaidi tunafuatilia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Zogo baada ya Msikiti kuvamiwa Kenya

Vijana walioghadhabishwa na tukio la polisi kuvamia msikiti unaosemekana kutumiwa kuhubiri itikadi kali za kiisilamu mjini Mombasa, wamekabiliana na polisi kwa siku ya 2 leo.

 

10 years ago

Bongo5

Darassa ammind Stamina, ni baada ya kuitwa ‘mmbeya’

Wasanii wa Hip Hop, Darassa na Stamina wameingia kwenye mgogoro na kutupiana maneno baada ya Stamina kudaiwa kumuita Darassa ni mmbeya. Darassa amemtaka Stamina aliyewahi kumshirikisha kwenye wimbo wake ‘Mwambie Mwenzio’ kufuta kauli yake aliyoisema kwenye U Heard ya Clouds FM hivi karibuni kuwa ni mmbeya na anatafuta kiki kupitia mgongo wake. Akizungumza na Bongo5 […]

 

9 years ago

MillardAyo

Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi….

Rapper kutoka kwenye zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2013, Edu Boy amenusurika kifo baada ya kuitwa mwizi maeneo ya Sinza wakati akitoka studio za Freenation kurekodi ngoma. Msanii huyo akiongea kwenye Clouds TV alisema…’Nilikuwa natoka studio kurekodi ngoma ilikuwa usiku nikakutana na vijana watano wakanisimamisha wakaniuliza kuna mtu umekutana naye nikajibu sijakutana na mtu […]

The post Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi…. appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AWASILI MLIMANI CITY

Muungano wa wasanii wameandaa hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kumpongeza na kumkaribisha Mheshimiwa John Pombe Magufuli ,Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi,inayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City .Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kuhudhuria hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya...

 

11 years ago

GPL

HOFU YA BOMU MLIMANI CITY

Na Waandishi Wetu HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka ya Mlimani City jijini Dar wamejikuta wakipata mchecheto wa aina yake baada ya kitu kilichodhaniwa ni bomu kukutwa kwenye eneo la kuegeshea magari. Walinzi wa maduka ya Mlimani City jijini Dar wakikagua kitu kinachosadikika kuwa ni bomu. Tukio hilo lilitokea Juni 16, mwaka...

 

10 years ago

TheCitizen

Mlimani City mall still insecure

>As patrons at Dar es Salaam’s Mlimani City shopping complex come to terms with the recently introduced parking charges, insecurity in and around the place remains a concern.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani