Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: PATASHIKA MLIMANI CITY LEO BAADA YA MALL HIYO KUUZWA KWA NAKUMAT...

Makundi makubwa ya watu  yanaonekana yametapakaa katika shopping mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam leo baada ya mall hiyo kuuzwa kwa mmiliki mwingine inayesemekana kuwa ni NAKUMAT. Hapo ni wafanyakazi wa Mlimani City wakisubiri hatma yao. Habari zaidi tunafuatilia.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Mlimani City mall still insecure

>As patrons at Dar es Salaam’s Mlimani City shopping complex come to terms with the recently introduced parking charges, insecurity in and around the place remains a concern.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: historia yawekwa jijini Mbeye leo baada ya kuzinduliwa kwa lift ya kwanza

Bango la Uzinduzi wa lift ya kwanza jijini Mbeya. Uzinduzi rasmi wa Lift ya kwanza Jijini Mbeya ukifanyika huku shamra shamra zikiendelea.  Wadau wakipanda na kushuka kwenye lift hiyo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea uzinduzi wake. hodiiii......

 

11 years ago

TheCitizen

Airtel renovates, relaunches its Mlimani City Mall centre

Airtel Tanzania has unveiled its refurbished shop at Mlimani City Shopping Mall as the company vows to renovate all its centres to make them more customer friendly.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: HODI, HODI ROCK CITY...TRENI YA DELUXE YAELEKEA MWANZA LEO JUMAPILI

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk Shaban Mwinjaka akikata utepe kuzindua safari hiyo  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk Shaban Mwinjaka akiondoa treni kwa kupunga benderaUongozi wa Kampuni  ya Reli Tanzania  –TRL unachukua  fursa hii kuwataarifu wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla na hasa ukanda  wa ziwa kuwa hatimaye ile huduma iliyokuwa ikisubiriwa leo Aprili 12 , 2015 inaelekea Mwanza ‘Rock City’ Ziwa Victoria!

Safari hii ni ya pili kwa vile ya uzinduzi iliyofanyika Aprili...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA

Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu

 

Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa  Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha  wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.

Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...

 

9 years ago

MillardAyo

Good News: Rock City Mall imekamilika, hizi ndio sifa zake kubwa usizozijua…(+Audio)

Kwa mara nyingine tena nakusogezea stori kutokea Mwanza kuhusiana na jengo jipya la Rock City Mall ambalomiezi kadhaa iliyopita lilianza kuchukua headlines baada ya kuonekana ndio Shopping Mall kubwa kuwahi kujengwa katika jiji hilo. hapa nakukutanisha na Joseph Mlinzi kabibu wa kampuni iliyojenga jengo hilo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Good News: Rock City Mall imekamilika, hizi ndio sifa zake kubwa usizozijua…(+Audio) appeared first...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ILALA JIJINI DAR LEO

 Sehemu ya waokoaji katika Nyumba iliyoteketea kwa moto, wakiangalia namna ya kuokoa wa baadhi ya mali zilizokuwepo ndani ya nyumba hiyo, moto huo umetokea mchana wa leo katika mtaa wa Tabora, Ilala jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani