NEWS ALERT: historia yawekwa jijini Mbeye leo baada ya kuzinduliwa kwa lift ya kwanza
Bango la Uzinduzi wa lift ya kwanza jijini Mbeya. Uzinduzi rasmi wa Lift ya kwanza Jijini Mbeya ukifanyika huku shamra shamra zikiendelea. Wadau wakipanda na kushuka kwenye lift hiyo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea uzinduzi wake. hodiiii......
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: PATASHIKA MLIMANI CITY LEO BAADA YA MALL HIYO KUUZWA KWA NAKUMAT...
Makundi makubwa ya watu yanaonekana yametapakaa katika shopping mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam leo baada ya mall hiyo kuuzwa kwa mmiliki mwingine inayesemekana kuwa ni NAKUMAT. Hapo ni wafanyakazi wa Mlimani City wakisubiri hatma yao. Habari zaidi tunafuatilia.
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ILALA JIJINI DAR LEO
Sehemu ya waokoaji katika Nyumba iliyoteketea kwa moto, wakiangalia namna ya kuokoa wa baadhi ya mali zilizokuwepo ndani ya nyumba hiyo, moto huo umetokea mchana wa leo katika mtaa wa Tabora, Ilala jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: CHOPA YAPIGA MWELEKA LEO NA KUUWA WATU WANNE JIJINI DAR LEO
Sehemu ya mabaki ya Helkopta aina ya Chopa iliyopiga mweleka mapema leo asubuhi maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne waliokuwemo ndani ya Chopa hiyo hiyo wakiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Chanzo cha Chopa hiyo kupiga mweleka bado hakijafahamika mpaka sasa.Sehemu ya Mashuhuda wakiangalia mabaki ya Chopa hiyo.Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia ajali hiyo iliyotokea mapema leo eneo la Kipunguni B,jijini Dar es Salaam.Watu wanne wamepoteza maisha...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: NDEGE YA JWTZ YAPATA AJALI JIJINI MWANZA LEO
Ndegevita moja ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiteketea kwa moto huku jitihada za kuuzima zikiendelea katika ajali iliyotokea leo Februari 27, 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa MwanzaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza.
Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita, Wakati rubani wa ndegevita...
Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita, Wakati rubani wa ndegevita...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

MichuziNEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA
Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...
10 years ago
MichuziNews Alert: membe akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi jijini Dar es salaam leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Laurent Kavakure jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro. Mhe. Kavakure aliwasili nchini tarehe 03 Mei 2015. Wakati huo huo, Mhe. Membe ataongoza ujumbe wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenda Burundi siku ya Jumatano tarehe 06 Mei 2015 kufanya mazungumzo na Serikali ya...
11 years ago
Michuzi04 Jul
NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu
Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...
10 years ago
MichuziTAMASHA LA KWANZA LA STARA KUZINDULIWA JIJINI DAR
Pazia la Tamasha la kwanza la Mavazi ya Heshima STARA limezinduliwa hivi "Stara Street Fashion"
Tamasha hili la aina yake linatazamiwa kufanyika tarehe 13th June 2015 katika ukumbi wa City Garden, kuanzia saa moja usiku hadi saa nne usiku kwa kiingilio cha shilling elfu 20 tu.
Pazia la Tamasha hili litafunguliwa wiki moja kabla ya Tamasha kwa Exhibition ya bidhaa ya vitu mbalimbali... vitakavyouzwa kama vile Mabaibui, Udi Hena na vitu vingine kuanzia saa mbii asubuhi hadi saa 1usiku na...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania