MAGUFULI AWASILI MLIMANI CITY

Muungano wa wasanii wameandaa hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kumpongeza na kumkaribisha Mheshimiwa John Pombe Magufuli ,Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi,inayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City .
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kuhudhuria hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Wasanii wamuaga Dr. Jakaya Kikwete na kumkaribisha Dr. John Pombe Magufuli Mlimani City
Rais Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na Muungano wa wasanii Kumshukuru Mh. Dr. Jakaya Kikwete kwa jinsi alivyowasaidia katika uongozi wake wa miaka 10 kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kumkaribisha Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe...
11 years ago
GPL
HOFU YA BOMU MLIMANI CITY
10 years ago
TheCitizen24 Nov
Mlimani City mall still insecure
10 years ago
GPL
KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Shamrashamra za kumuaga Jakaya Mlimani City
11 years ago
Michuzi
Airtel yazindua duka la kisasa Mlimani City


11 years ago
GPL
MAKALIO YA KOLETA YADATISHA WATU MLIMANI CITY!
11 years ago
Mwananchi15 Jun
‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City
10 years ago
GPLMAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY