MAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY
Sehemu ya Mapokezi ya Maonesho ya Tanzania Home Expo. Mmoja wa wahudumu wa maonesho ya Biashara (kushoto) akielekeza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesho hayo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLEAG-GROUP KUFANYA MAONESHO YA HOMES EXPO MLIMANI CITY 29-30 MEI
11 years ago
Michuzimaonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-tX5fCKIIuW0/VCp3wgOWmhI/AAAAAAACr2I/hJq5YDP2Z6A/s1600/expo_022.jpg)
ONESHO LA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO KUFUNGULIWA KESHO MLIMANI CITY
10 years ago
VijimamboMAONYESHO YA TANO YA HOMES EXPO KUANZA MEI 29
.................................................ZAIDI ya Kampuni 70 hapa nchini kwa kushirikiana na nchi jirani,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-17GLxqJ2lD0/Xkvll190n2I/AAAAAAALd60/Wg9ed2yEIcsywgdTIWaMQYMJ6DXLQFALgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-18%2Bat%2B16.03.33.jpeg)
9 years ago
GPLMAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO 2015 YAZINDULIWA KWA KISHINDO
9 years ago
Dewji Blog02 Oct
Dkt . Gharib Bilal atembelea Banda la Fastjet maonesho Swahili International Tourism Expo (S!TE)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Fastjet na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana.
Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal wakati uzinduzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo(S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana. Pembeni ni Afisa...
10 years ago
Dewji Blog22 Jun
Maonesho ya utalii ya Sanganai/Hlanganani—(World Tourism Expo) Zimbabwe yafumbua macho Watanzania
Pichani juu na chini ni Afisa Habari Mwandamizi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Esther Solomon (kushoto) akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali za utalii na vivutio vyake nchini Tanzania kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikiwemo vya utalii nchini Zimbabwe waliofika katika banda la Tanzania kwenye maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Utalii Sanganai/Hlanganani–(World Tourism Expo) kupata taarifa mbalimbali za vivutio vya utalii wa Tanzania yaliyomalizika jana jijini Harare katika...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Banda la Bodi ya Utalii Afrika Kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo (SiTE)
Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akifanya mahojiano na mwandishi wa Capital Tv Bi. Yvonne Msemembo kabla ya uzinduzi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar Es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kanda ya...